Jezi Ya Simba SC itakayotambulishwa baadae

Jezi Ya Simba SC itakayotambulishwa baadae

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeshangazwaaaaaa
 
Ndiyo tatizo la kutoka mkoani na kuvamia jiji machinga wa karume washakuingiza kingi mkuu pole sana
 
Ni kubeti tu sasa. Kila jezi ni kampuni ya kamari. Watuletee jez exclusive zisizo na matangazo ya kamari
Kashauri makanisa na misikiti nao wadhamini timu ili wasiweke kampuni za kamari
 
Huu ndio uzi
IMG-20220807-WA0060.jpg


Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom