majany JF-Expert Member Joined Sep 30, 2008 Posts 1,223 Reaction score 586 Feb 19, 2013 #1 wadau habari zenu bana.... Naomba msaada,juzi nimejaribu kuzunguka mjini lakini nikashindwa kupata jezi original ya Arsenal.Naomba mnijuze duka linalouza hizi jezi za kiwango... Natangiliza shukran
wadau habari zenu bana.... Naomba msaada,juzi nimejaribu kuzunguka mjini lakini nikashindwa kupata jezi original ya Arsenal.Naomba mnijuze duka linalouza hizi jezi za kiwango... Natangiliza shukran