Jezi Nyekundu zina Gundu kuelekea Robo fainali AFCON

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kama wewe ni mfuatiliaji wa Afcon huko misri hautapingana na hili kuanzia mechi za mtoano kuelekea Robo fainali zianze Karibia timu zote zilizovaa jezi Nyekundu hazijafanikiwa kufuzu kuelekea Robo fainali licha ya kucheza mpira mzuri

Mpaka sasa timu zilizovaa jezi za kijani au Njano ndio timu pekee zilizofuzu kuelekea Robo Fainali Afcon

Ukiitazama Benin,South Africa, Senegal, Nigeria na Nk jezi zao ni Rangi tajwa hapo.

Zilizotolewa ukitazama Uganda, Misri na NK. Rangi ya jezi zake ni tajwa hapo juu,


Kuna nini kwenye Rangi ya Njano au Kijani kwa Afcon ya mwaka huu.?



Cc Zero IQ
 
Back
Top Bottom