Jezi mpya ya arsenal original

Jezi mpya ya arsenal original

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,648
Reaction score
3,864
Jezi mpya ya arsenal original nitaipata wapi wakuu hapa dar
 
Mcheki Shaffi Dauda Instagram
 
Jezi original (orijilino) nunua mtandaoni kwa wenyewe huko, huku tz hakuna OG kuna zenye afadhali tu, hakuna cha shafi, sijui duka gani, jezi utauziwa 35k mpaka 25k za kibongo, wakati wenyewe huku jezi ya juu si chini ya pound 50.
 
Back
Top Bottom