Pengine hujui!
Palestina ni jamii mseto! Ni Waislamu na Wakristo. Ukisikia Palestina imeshushiwa mvua ya makombora tambua jamii zote 2 zinateketezwa.
Mkuu Malcom Lumumba alitufungua kimuono kuhusu mzozo huu. Kuna nukta zinabidi zitizamwe kwenye mgogoro baina ya Israel na Palestina ambazo aliziainisha.
- A humanist point of view
- A legal point of view
- A historical point of view
Kwa muono wangu hizi zote Israel imekosa. Palestina imeomba sehemu ndogo tu Gaza ili wajitegemee Israel imekataa! Sehemu yote ya Gaza wameizingira baharini, nchi kavu na angani pia.
Palestina si nchi! Palestina ni gereza lenye taswira ya nchi.