Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,468
- 38,201
Ndege za kivita zaleta taharuki Jiji Arusha kwa kutoa sauti kubwa na wakazi kadhaa wa Jiji hili la kitalii walikuwa wakiangaika wasijue la kufanya.
Kuna ndege zinapita kwnye anga la Tanzania Arusha. zimenishtua ni za nchi gani na kama ni za Tanzania mbona hakuna taarifa kwa uma.
Zinashtua