Nyie mnaowapondea si mkapigane nao! wewe kama unajua karate zako nenda pale kikosi cha komandoo sema mm nimetoka manzese au keko najua karate naomba kupigana na komandoo alafu uje utupe feedback imekuaje
Wengine kutwa wako uswahilini wanakunywa chibuku, sijui kazini wanaendaga saa ngapi au wale wako kwenye kitengo gani?
Hawa makomandoo hongera zao...wako fit acha watu wawadharau. Wanafanya sana mazoezi. Mara nyingine 17-19 hours a day for several days ili kumudu kashkash za medani ya kivita. Nchi nyingine wanatunza mana ndio hazina na mabegani mwao wamebeba dhamana kubwa ya kulinda na kutetea uhuru wa nchi. Hapa kwetu kama tunawalisha uji na kuwapa komoni wawe wanalewa hilo litakuwa tatizo letu.
Kwa mazoez hayo wataacha kufa 60??ila nawaamiia kwa kupiga raia wasio na mafunzo yoyote
Maonyesho yana mambo mengi sana kabla hayajafanyika.ndio maana wajuvi wa ngumi wakiangalia hizi picha hawana mbavu.
All in all much respect kwa walinzi wetu.
wale wamarekani walimuua "osama",hawa hata wauaji wa albino hawajawashika,sasa mazoez ya nn kama sio kumaliza sembe tu,wawekeze kichwani sio kwenye mwili,kukomaza miili tu hovyo hovyo
Ni Mazoezi Ya Kawaida Sana Tatizo Wenye Viwango Kama Cha Kwangu Ukipigana Hovyo Unafungwa, Si Mmesikia Chengwa Katunzwa Stoo.
Hayo mazoezi wapewe,tech wafundishwe, na nidhamu wapewe mana huku kitaani kuna watu tunapenda ugomvi kuliko kula
Wabongo tunaongea ilimradi tunaongea.Kwani mmeambiwa Jeshi halijawekeza kichwani,Jeshi linaenda na vyote.Tatizo watu mkiona maonesho yao uwanja wa taifa mnadhani tayari mmeshajua jeshi linavofanya kazi.Hope tunajua kidogo sana kuhusu jeshi.
Hawa ni zaidi ya wanajeshi...