Hayo mambo ya kizamani wewe siku hizi wanajeshi wanashinda kambini na kurusha drones kwa computer tu.....
Kwa hiyo hamna haja ya Mazoezi kama hayo si ndiyo?
Haina haja...hatuoni faida zake zaidi ya kuwatengua raia viuno tu...
We una ujuuzi wowote wa mambo ya kijeshi?
Unazungumzia jeshi lipi....??
Kwani hapa tunazungumzia jeshi lipi?
Jeshi sio lelemama...
Yap hilo hilo la Si lelemama una ujuzi nalo?
Maana unaposema hayo mazoezi yamepitwa na wakati sijui wale wamarekani waliofanya mission ya kumuua Osama walikaa Ofisini na kudeal na computer tu bila kuwa fit kimazoezi?

Kama huyo wa mbele,hamna kitu hapo,amekaa kibwegebwege tu!huyu anafaa kwa kuzuia maandamano ya gesi tu,na si vinginevyohakika....
Kwa hiyo hamna haja ya Mazoezi kama hayo si ndiyo?
Mazoezi hayo ndo yanawafanya wakija mtaani kwetu wanaanzisha vurugu wakichapwa wanakuja kufunga mtaa kama wapo Dafur, wakipelekwa vitani wanauliwa wanatudanganya amekufa 1 kumbe 48
Kwa mazoez hayo wataacha kufa 60??ila nawaamiia kwa kupiga raia wasio na mafunzo yoyote