Hawa makomandoo hongera zao...wako fit acha watu wawadharau. Wanafanya sana mazoezi. Mara nyingine 17-19 hours a day for several days ili kumudu kashkash za medani ya kivita. Nchi nyingine wanatunza mana ndio hazina na mabegani mwao wamebeba dhamana kubwa ya kulinda na kutetea uhuru wa nchi. Hapa kwetu kama tunawalisha uji na kuwapa komoni wawe wanalewa hilo litakuwa tatizo letu.
Hayo mazoezi wapewe,tech wafundishwe, na nidhamu wapewe mana huku kitaani kuna watu tunapenda ugomvi kuliko kulakwahyo unashauri haya mazoezi tusiwape?