Jeshi nchini Gabon lapindua Serikali ya Ali Bongo

Hii ndy shida ya kuongoza nchi na kuachiana familia kutawala maana mnawafanya watu kama mafala vile

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati nzuri hapa kwetu hali ya namna hii huwa inataka kujitokeza halafu inashindikana.

Anayeondoka ikulu huwa anataka mtu wake ndio airithi ofisi lakini huwa haifanikiwi.
 
"Amri ya kutotoka nje imetangazwa" inapotangazwa tahadhari kama hii na huna stock ya chakula wala nishati unafanyaje ili maisha yaende?
 
Source: The Gurdian
Gabon military seize national radio station in apparent coup attempt
Military officers in Gabon staged an apparent coup early Monday morning, seizing the state radio station and declaring their dissatisfaction with President Ali Bongo, who is recovering from a stroke in Morocco.
Officers read aloud a message announcing their unhappiness with Bongo, saying his new year’s address “reinforced doubts about the president’s ability to continue to carry out of the responsibilities of his office,” said Lieutenant Kelly Ondo Obiang, the leader of the self-declared Patriotic Movement of the Defence and Security Forces of Gabon.
AFP reported that shots were heard in the Gabon capital of Libreville.
It comes as US president Donald Trump said on the weekend that about 80 US military personnel and “appropriate combat equipment” had deployed to Gabon amid fears of unrest in neighbouring Congo.
The troops were to provide security for US citizens and staffers and diplomatic facilities. More would deploy as needed to Gabon, Congo or neighbouring Republic of Congo, Trump said.
This is a breaking story, check back for updates.
 
"Amri ya kutotoka nje imetangazwa" inapotangazwa tahadhari kama hii na huna stock ya chakula wala nisha unafanyaje ili maisha yaende?

Hapo lazima ulimie meno.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wao huwa wanakumbatia wale wenye mavyeo makubwa wakidhani ndio watakuwa salama.

Ndio ujinga wao, hao wanaoendeshwa na Ma VX V8 hawana uchungu, wao wako kwenye neema, ni hivi vijamaa vidogo tunavyopanga navyo mitaani ndio vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…