lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Huna jeshi la wanamaji kisa wewe hauzungukwi na maji, ukivamiwa na Nchi ambayo ni kisiwa utafanyaje?Angalizo napenda kuulizia na kuzungumzia muundo wa majeshi mengi au yote Duniani.Siulizii kwa jeshi la nchi moja tu.
Mara nyingi nchi nyingi zina jeshi moja lililogawanyika mara mbili au tatu.
je mgawanyiko huu ni lazima?
Jeshi la nchi kavu
jeshi la angani
jeshi la maji
je ni lazima kila nchi kuwa na mgawanyo huu?,vipi kwa nchi amabzo hazina bahari wala ziwa wala mito,ni lazima kuwa na jeshi la wanamaji?
je kama nchi ni kisiwa imezungukwa asilimia miamoja na maji ni lazima kua na jeshi la ardhini? au ni lazima kuwa na jeshi la angani?
je katika haya makundi matatu,yaani jeshi la ardhini,wanamaji na angan, jeshi lipi ni muhimu,ni bora na lazima kuwa nalo?kama nchi ikiamua kubaki na jeshi moja.
Lol Asante Sana Mkuu,umefafanua vema Sana.jeshi la nchi yoyote ile duniani lipo kwaajili ya maslahi ya kiulinzi na kiusalama ya nchi husika ndani na nje ya nchi hiyo,nchi inaweza ikawa haina bahari wala ziwa,lakini ikahitajika operation ambayo ni kwa maslahi ya nchi hiyo lakin hiyo operation inahitajika kuvuka ziwa,au ikahitaji kufanyika ziwani au baharini,unadhani land force au air force watahitajika au watahitajika navy???kwa mfano,tuseme Tanzania haina ziwa wala bahari,halafu ikatokea watanzania wametekwa na kwenda kufichwa kisiwa cha Comoro,ni navy au landfoce watakaohitajika???kwahiyo aridhi,anga na maji lazima vyote viwe vimekodolewa na jeshi maana vyote ni entry na exit points za kila nchi,obeja sana
Asante Mkuu nimekuelewa vema kabisaHuna jeshi la wanamaji kisa wewe hauzungukwi na maji, ukivamiwa na Nchi ambayo ni kisiwa utafanyaje?
Aiseee chalii yangu mimi sijuiAngalizo napenda kuulizia na kuzungumzia muundo wa majeshi mengi au yote Duniani.Siulizii kwa jeshi la nchi moja tu.
Mara nyingi nchi nyingi zina jeshi moja lililogawanyika mara mbili au tatu.
je mgawanyiko huu ni lazima?
Jeshi la nchi kavu
jeshi la angani
jeshi la maji
je ni lazima kila nchi kuwa na mgawanyo huu?,vipi kwa nchi amabzo hazina bahari wala ziwa wala mito,ni lazima kuwa na jeshi la wanamaji?
je kama nchi ni kisiwa imezungukwa asilimia miamoja na maji ni lazima kua na jeshi la ardhini? au ni lazima kuwa na jeshi la angani?
je katika haya makundi matatu,yaani jeshi la ardhini,wanamaji na angan, jeshi lipi ni muhimu,ni bora na lazima kuwa nalo?kama nchi ikiamua kubaki na jeshi moja.
thanks for the complement mkuuLol Asante Sana Mkuu,umefafanua vema Sana.
Jeshi sio kwa ajili ya nchi yako tu,unaweza ukahitajika kwenda kupigana baharini au angani ni lazima.uwe na maandalizi kwenye nyanja zoteAngalizo napenda kuulizia na kuzungumzia muundo wa majeshi mengi au yote Duniani.Siulizii kwa jeshi la nchi moja tu.
Mara nyingi nchi nyingi zina jeshi moja lililogawanyika mara mbili au tatu.
je mgawanyiko huu ni lazima?
Jeshi la nchi kavu
jeshi la angani
jeshi la maji
je ni lazima kila nchi kuwa na mgawanyo huu?,vipi kwa nchi amabzo hazina bahari wala ziwa wala mito,ni lazima kuwa na jeshi la wanamaji?
je kama nchi ni kisiwa imezungukwa asilimia miamoja na maji ni lazima kua na jeshi la ardhini? au ni lazima kuwa na jeshi la angani?
je katika haya makundi matatu,yaani jeshi la ardhini,wanamaji na angan, jeshi lipi ni muhimu,ni bora na lazima kuwa nalo?kama nchi ikiamua kubaki na jeshi moja.
Yote yana umuhimu Chifu, yamejitenga kwa ajili ya specialization tu.Angalizo napenda kuulizia na kuzungumzia muundo wa majeshi mengi au yote Duniani.Siulizii kwa jeshi la nchi moja tu.