Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 622
- 1,732
Wajinga tuu ndo watajitokeza kujidhalilisha kuandamana kisa ulaji wa viongozi wa ChademaWajinga tu ndo watajitokeza kujidhalilisha kufagia barabara. Ifike mahali wanajeshi wetu wajitambue na watambue thamani yao. Bila kujitambua watatumikishwa sana na wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi na yasiyo na tija!
Jeshi lazima wawe watii kwa serikaliWajinga tu ndo watajitokeza kujidhalilisha kufagia barabara. Ifike mahali wanajeshi wetu wajitambue na watambue thamani yao. Bila kujitambua watatumikishwa sana na wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi na yasiyo na tija!
Hivi mkuu wa mkoa anaweza kuwashurutisha JWTZ?Jeshi lazima wawe watii kwa serikali
Ni lazima wafanye usafi
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Kuna tofauti ya utii na uoga.Jeshi lazima wawe watii kwa serikali
Ni lazima wafanye usafi
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Hapana Mkuu.Hivi mkuu wa mkoa anaweza kuwashurutisha JWTZ?
Hivi mkuu wa mkoa anaweza kuwashurutisha JWTZ?
Hapana Mkuu.
Ni Rais pekee kama Amir jeshi Mkuu ndo anaweza kutoa agizo.
Sema wakati mwingine kiongozi wa juu akiwa dhaifu, basi wa chini yake huwa wanafanya yale ambayo alipaswa kufanya yeye.
Hivi hizo kazi za kijamii kama kufanya usafi kwanini huwa hawafanyi hadi kuwe na tukio la kisiasa kwa upande wa upinzani?Agizo lipi??
Agizo la rais kwa jeshi sio kufanya usafi ni kuingia vitani na kutoka.
Kazi nyingine zile ambazo zimeanishwa kwamba ni za kijamii,hiyo sio kazi ya rais kuliagiza jeshi,hata mkuu wa wilaya anatoa.
Na kwa jeshi hiyo ni ishara njema kwamba jeshi lina nidhamu kwa serikali yake,sio udhaifu kama mnavyodhani.
Kweli mrembo, uko sahihi kabisa.Hapa wa kulaumiwa ni jeshi lenyewe. Ilikuwaje mpaka wakafikia hatua hii?
Hii ni dharau kubwa, kiongozi yeyote kusema atakacho nao wanatii ndio tatizo lenyewe.
Tunajivunia kuwa na watu kama wewe JF.Hivi hizo kazi za kijamii kama kufanya usafi kwanini huwa hawafanyi hadi kuwe na tukio la kisiasa kwa upande wa upinzani?
Ungekuwa huu ndio utaratibu wao wala isingeshangaza, ila usafi wa kila yanapoitishwa maandamano ndio udhaifu wenyewe.
Kazi za kijamii huwa wanafanya mfano kipindi cha migomo ya daladala na madaktari tuliona walifanya.Hivi hizo kazi za kijamii kama kufanya usafi kwanini huwa hawafanyi hadi kuwe na tukio la kisiasa kwa upande wa upinzani?
Ok tuseme ni wachokozi,embu tujiulize wanaotarajia kuandamana ni kwanini wawe na wasi wasi wakati jeshi litatumia mifagio wala sio mabomu ya machozi??Ungekuwa huu ndio utaratibu wao wala isingeshangaza, ila usafi wa kila yanapoitishwa maandamano ndio udhaifu wenyewe.
Asante.Tunajivunia kuwa na watu kama wewe JF.
Ahsante sana.
Kama jeshi lenyewe limependa kujiweka kuwa sehemu ya chama tawala ni vigumu sana kuheshimiwa na wanaojiona wako juu yao.Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera.
Majeshi yatu yako kwa akili ya kuhudumia Taifa na raiwa wake.
Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katikaambo ya siasa za ndani?
Jeshi la polisi kwanini lisitumika kulinda usalama wa raia na Mali Zao kama ilivyo kusidi la kuanzishwa kwake.
Tuelewane kuwa Chadema wametangaza Maandamano ya AMANI. Sasa kitendo Cha kuwaleta wanajeshi katika hekaheka za maandani inamaanishi kushindwa kwa Polisi kulinda usalama?
Ndugu Chalamila Umezowea kufanyia comedy kwa kilakitu. Sasa umevuka mipaka.
Itafikia wakati jeshi litaonekana kitu Cha kawaida.
Ikifikia ile hatua raia wamezowea mihongano na Jeshi la ulinzi, je utatumia jeshi Gani panapobidi?
Mkuu wa majeshi hajiamini na hajui kazi za jeshiHii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera.