Jeshi latawanya wapinzani Tanzania

Jeshi latawanya wapinzani Tanzania

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,742
10897812_914997731852226_7834448960427550003_n.jpg


Saa 4 zilizopita


Jeshi nchini Tanzania leo limelazimika kutumia nguvu ili kuwatawanya wafuasi wa upinzani kwa madai ya wafuasi hao kutaka kuvuruga zoezi la kuapisha wenyeviti wa serikali za mitaa wa wilaya Kinondoni lililofanyika leo mji wa Dar es Saalam.


Wafuasi hao wa upinzani wanadai baadhi ya wenyeviti hao walioapishwa hawakuchaguliwa kihalali na hivyo kuamua kuwaleta watu wengine wanaodai kuwa ndio walioshinda ili nao waapishwe.


Zoezi la kuapishwa wenyeviti hao linafanyika baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika nchini humo mwezi Decemba mwaka jana.


Kutoka Dar es Salaam John Solombi na maelezo zaidi Bonyeza hapa.
http://www.bbc.co.uk/…/media…/2015/01/150106_tanzania_vurugu

 
Back
Top Bottom