Baada ya kutonywa namsamaria mwema sijui tumuite ama kanyimwa mgao jeshi limekamata kilo 97.8 za heroine<br />
mchana huu njia ya kunduchi beach..na watu watano wakiwemo wakina rostama aka iran wawili na watanzania watatu<br />
wako chini ya ulinzi<br />
natwakia maisha mema huko waendako maana walikuwa wanahangaika kutoka <br />
jeshi naombeni jiulizeni zimetoka wapi na nani aliewapa badala ya kuchukua hizo dawa na kwenda kujinufaisha kama mnavyofanya pale kurasini sipendi kuendelea na mengi..zimetoka wapi hili ndiloswali muhimu