Jeshi lakamata kilo 97.8 za heroine njia ya kunduchi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Baada ya kutonywa namsamaria mwema sijui tumuite ama kanyimwa mgao jeshi limekamata kilo 97.8 za heroine
mchana huu njia ya kunduchi beach..na watu watano wakiwemo wakina rostama aka iran wawili na watanzania watatu
wako chini ya ulinzi
natwakia maisha mema huko waendako maana walikuwa wanahangaika kutoka
jeshi naombeni jiulizeni zimetoka wapi na nani aliewapa badala ya kuchukua hizo dawa na kwenda kujinufaisha kama mnavyofanya pale kurasini sipendi kuendelea na mengi..zimetoka wapi hili ndiloswali muhimu

Hongera jeshi letu makini.

Pana maswali ya kujibu zaidi ya hongera.

Zimetoka wapi?
Zinapelekwa wapi?
Uwepo wa wairani unamaanisha nini?
Biashara gani inayofanyika kurasini yenye ulinganifu ama urali na hii ya Kunduchi?
Kwanini katika eneo la jeshi?

Ukitoa habari toa wadau tuelewe so mipasho kama ya taarabu,siku nyngne ukae kimya

unamanisha kurasini jkt,polisi kirwa road au pale mbele ya uhasibu kwa wanajeshi?sijakuelewa.mia

Ukitoa habari toa wadau tuelewe so mipasho kama ya taarabu,siku nyngne ukae kimya
nafikiri si kosa lako na kama mamamzazi angesubiri dk 1 walahi kukuzaa angekuwa muhimbiili pale sak.....pole

Pana maswali ya kujibu zaidi ya hongera.

Zimetoka wapi?
Zinapelekwa wapi?
Uwepo wa wairani unamaanisha nini?
Biashara gani inayofanyika kurasini yenye ulinganifu ama urali na hii ya Kunduchi?
Kwanini katika eneo la jeshi?

Mbona kule Kenya wanazichoma heroine, cocaine... HADHARANI za kwenu mnapeleka wapi lol

vigogo wengi wa mihadarati kunduchi ndiyo maskani yao. Huyo jamaa katoswa dats y kawachoma wenzie.

Sorry,nimeskia kuwa ni mpakistani,,,,,na mzigo wameukamata alfajiri ya leo huko njia ya kunduchi
sosi:mejiki fm 92.9
Baada ya kutonywa namsamaria mwema sijui tumuite ama kanyimwa mgao jeshi limekamata kilo 97.8 za heroine

mchana huu njia ya kunduchi beach..na watu watano wakiwemo wakina rostama aka iran wawili na watanzania watatu

wako chini ya ulinzi

natwakia maisha mema huko waendako maana walikuwa wanahangaika kutoka

jeshi naombeni jiulizeni zimetoka wapi na nani aliewapa badala ya kuchukua hizo dawa na kwenda kujinufaisha kama mnavyofanya pale kurasini sipendi kuendelea na mengi..zimetoka wapi hili ndiloswali muhimu

zinpelekwaga kwa yatima wanaziuza alafu fedha zinatunza vituo vya kulelea yatima si ulimzikisia zombe aliomba wasizichome ni dhambi
wakati nchi moja sikumbuki ilipoamua kuziuza kwa nchi nyingine na kupata mabilion wakayapeleka kwenye asasi zinazosaidia watu sasa mbaya
hapa kwetu ukichungulia kila asasi kuna mama kikwete mama shein ukiangalia kulia mama mwandosya mama wassira mama chegeni mama buriani batolda mama naniino ukienda zanzibar usiseme kuna ya mama shadya karume kuna ya mwanae mwingine wa kike kuna za ukoo wa karume zote za kusaidia so unakuta hata wakianza kugawa wanagawana wenyewe kwa hapa kwetu na akuishia kutoleta maana

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom