Jeshi la zimamota na uokoaji

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Jamani samahanini naomba mnifahamishe maana kuna ndugu ananisumbua sana. Hivi hawa jamaa wa jeshi la zimamoto na uokoaji majibu yao lini?
 
jamani samahanini naomba mnifahamishe maana kuna ndugu ananisumbua sana. Hivi hawa jamaa wa jeshi la zimamoto na uokoaji majibu yao lini?
we si useme wewe ndiyo unataka kujua,usimsingizie ndugu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…