JESHI LA WANANCHI SHIKAMOO.

Hivyo viapo vya utii hata kwa mambo ya hovyo? Hata kwa mambo ambayo yanahujumu maslahi ya nchi? Hata kwa mambo yanayohusu Usalama wa Taifa? Hapana
ukiyavulia maji, lazima uyaoge.
 

Jeshi letu limekuwa lejeleje. Kitendo cha kushidwa vita na M23 ni aibu kubwa sana kwa Tanzania. Tukiingia vita kesho na Rwanda tunapigwa mchana kweupe tumebaki kujidanganya tu.
 
Mna jeshi nyie au kundi la wahuni tu ambalo lipo kwa ajili ya kuwalinda watawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…