Possibly, linaonekana liko imara kwasababu halijawa TESTED.Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka " Nchi inaibiwa, Nchi imeuzwa, kuna wachache wanaidhurumu nchi, watu wanahamisha urithi wetu, kuna watu wanatoa uhai wa watu wetu" Ni ni Naziita kelele,kwa kuwa having uthibitisho lakini pence Moshi pana moto. Tumewapa kila dhamana ya Nchi yetu. Niulize tu hizi kelele za kweli? Kama zina chembe ya ukweli mko wapi mpaka watu waingie barabarani,? Hata kama mnakula vizuri mnaishi vizuri mmewezeshwa kwa kila hitaji, lakini Sisi waajiri wenu kelele zimezidi je haziwawasi usingizi mnaona sawa tu. !
Mheshimiwa Mdogo wangu Gen. Mkunda Shikamoo.
Jibu ni Rost tamu keshapenya na humo. Kama kwingine yuko, kwa Mkuru ananyanyua simu tu anafyata. Atashindwaje huko?Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka " Nchi inaibiwa, Nchi imeuzwa, kuna wachache wanaidhurumu nchi, watu wanahamisha urithi wetu, kuna watu wanatoa uhai wa watu wetu" Mimi Naziita kelele,kwa kuwa hazina uthibitisho lakini penye Moshi pana moto. Jenshi letu tumewapa kila dhamana ya Nchi yetu. Niulize tu hizi kelele za kweli? Kama zina chembe ya ukweli mko wapi mpaka watu waingie barabarani,? Hata kama mnakula vizuri mnaishi vizuri mmewezeshwa kwa kila hitaji, lakini Sisi waajiri wenu kelele zimezidi je haziwawasi usingizi mnaona sawa tu. !
Mheshimiwa Mdogo wangu Gen. Mkunda Shikamoo.
alikua amejipandisha dau, kutishia ili apewe mapeneHuyo mkunda mwenyewe nayeye aliishia kulalamika tu kama wewe kwamba nchi inawahuni wa nje wamejipenyeza na Wana mamlaka makubwa wakuikomboa hii nchi hayupo ndg
Nimesema Kuna watu wamejipenyeza hata katika Jeshi kwa maslahi yao na mabwana zao. Aliyetoa post akasema Sina akili.Huyo mkunda mwenyewe nayeye aliishia kulalamika tu kama wewe kwamba nchi inawahuni wa nje wamejipenyeza na Wana mamlaka makubwa wakuikomboa hii nchi hayupo ndg
Kaa kmya kabsaa, kelel za Nini? Kuna mtu kafanya kazi hajapewa ela yake? Kuna mtu hajasema mtu kaja kukamatwa akiwa kwake?Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka " Nchi inaibiwa, Nchi imeuzwa, kuna wachache wanaidhurumu nchi, watu wanahamisha urithi wetu, kuna watu wanatoa uhai wa watu wetu" Mimi Naziita kelele,kwa kuwa hazina uthibitisho lakini penye Moshi pana moto. Jenshi letu tumewapa kila dhamana ya Nchi yetu. Niulize tu hizi kelele za kweli? Kama zina chembe ya ukweli mko wapi mpaka watu waingie barabarani,? Hata kama mnakula vizuri mnaishi vizuri mmewezeshwa kwa kila hitaji, lakini Sisi waajiri wenu kelele zimezidi je haziwawasi usingizi mnaona sawa tu. !
Mheshimiwa Mdogo wangu Gen. Mkunda Shikamoo.
Kazi zipi? Utu wa kuteka, kuua, kufira?KAZI na utu tunasonga mbele!
kwa mfumo, hawez kufanya chochote zaidi ya kuondolewa chap.alikua amejipandisha dau, kutishia ili apewe mapene
Hili nalo sijui limetoka wapi!Kaa kmya kabsaa, kelel za Nini? Kuna mtu kafanya kazi hajapewa ela yake? Kuna mtu hajasema mtu kaja kukamatwa akiwa kwake?
Bora uondolewe tu. Kunyamazia machafu ni kushiriki uchafu huokwa mfumo, hawez kufanya chochote zaidi ya kuondolewa chap.
kuna viapo vya utiiBora uondolewe tu. Kunyamazia machafu ni kushiriki uchafu huo