Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,636
- 2,361
Biashara zinachangamoto nyingi hasa hizi baishara zenye mtaji mdogo unaridhisha watu na kulipa Kodi TRA na pango unabakiwa na hela ya kula tu kiongozi,mtu ukiaajiriwa unakuwaga na uhakika wa mwisho wa mwezi mshahara, pamoja na mkopo ambao unaweza fanya ishu za maanaSasa uliachaje biashara na kukimbiliya ajira? Ina maana hukuwa na mood na iyo biashara. Sasa umepoteza vyote. Karibu kuongea na ndugu wakuchangie mtaji hata laki tano tu uanze upyaaa