Jeshi la Thailand latangaza kutwaa madaraka

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,688
2,000

Mkuu wa majeshi ya Thailand, Jenerali Prayuth Chan-ocha ametangaza mapinduzi, akisema jeshi la Thailand limetwaa madaraka na kuiondoa madarakani serikali ya uangalizi. Pia limetangaza kusimamisha kwa muda utekelezaji wa katiba , lakini baraza la juu la bunge la nchi hiyo litaendelea kufanya kazi.


Akitoa hotuba kwenye televisheni, Jenerali Prayuth amesema jeshi limechukua hatua hiyo ili kuepuka vifo na majeruhi zaidi kwa raia na kuzuia hali ya sasa izidi kuwa mbaya. Lakini, waziri mkuu wa serikali ya uangalizi amesisitiza kuwa hatajiuzulu na kutangaza kuwa leo ataitisha mkutano wa baraza la mawaziri.


Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. John Kerry amesema, anasikitishwa na kitendo cha jeshi la Thailand kusimamisha utekelezaji wa katiba, na kusema mapinduzi hayo ya kijeshi yataathiri uhusiano kati ya Marekani na Thailand.


Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-moon ametoa taarifa kupitia msemaji wake akisema anafuatilia kwa karibu hali ya Thailand, na kutoa wito kwa Thailand kurudi kwenye utawala wa kiraia. Pia amehimiza pande zote husika kujitahidi kuepuka mapambano na kuheshimu haki za binadamu.mia


Chanzo:CRI
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,695
1,195A surprise announcement of martial law in Thailand came before dawn - the military said it was necessary to keep the country stable after six months of unrest.
The move effectively places the army in charge of public security across the country. Senior soldiers insist however that their actions do not amount to a coup.
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,695
1,195


Armed troops entered numerous private television stations throughout Bangkok to pass on an appeal to people to stay calm and carry on with their normal working lives.
Troops took up position at other key sites in Bangkok, including outside the headquarters of the Royal Thai Police, underneath a picture of King Bhumibol Adulyadej.
Most people in Bangkok seemed to respond to the army's move with equanimity, with commuters seen travelling to work as usual.
Anti-government protesters danced at their main protest site outside Government House, the official office of the prime minister.
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,695
1,195


Some people, like this tourist, even took the opportunity to pose next to the soldiers.
On a major road alongside the country's most luxurious shopping malls, commuters passed soldiers in jeeps mounted with machine guns.
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,695
1,195


The army has staged 11 coups since the end of the absolute monarchy in 1932 - senior generals argue that a 1914 law gives it authority to intervene in times of crisis.
Thailand has been unstable since 2006, when ex-PM Thaksin Shinawatra was toppled by the army after being accused of corruption and disrespect for the king.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom