mkuu nina uzoefu na waethiopia,ila wanawake wa kiethiopia hawana shida kabisa,ila hawa wanyarwanda nimekutana nao nawaona si wakujichanganya sana na watu wa mataifa mengine,wanapenda sana kujichanganya wenyewe
mkuu ni wazuri kweli,kuna binti anafanya moyo wangu udunde pah pah pah,yaani huu mwezi wa nne anakubali hapo hapo kama anachomoa,mpaka naanza kukata tamaa
Hao unaowaona ni watutsi, wahutu ni wanene na hawana tofauti sana na wabongo, ukiona mnyarwanda mwenye mwili kama wa rais wao paul kagame jua ni mtutsi huyo na wengi wao ni warefu.
inategemea tafsiri yako ya urembo, wahutu hawana tofauti yoyote kimuonekano na wanawake wote wabantu, i.e Tanzania, kenya, uganda, zambia, south africa.....