Jeshi la polisi wamlilia Ernest Mangu

Jeshi la polisi wamlilia Ernest Mangu

Hao polisi wanaomlilia Mangu, wamezungumzia na kufel kwake kwenye mauaji ya polisi wenzao na mauaji ya kila siku uko mkuranga? au ni kwa sababu ya 'maslahi yao'

Kwani yeye ndo aliwatuma kuuliwa ? Kwani ni mara ya kwanza
Katolewa sababu i wish i could be Igp
Sababu hajaligeuza polisi kuogopewa kama jeshi
Mkuu wake anataka tuwaogope polisi....lakini walo funzwa raia ni marafiki zao na kazi yao ni kulinda raia na mali zao... raia sio adui...ila ndo hivo tena ...
 
Huyu Sirro ni mchumia tumbo fulani hivi. Hazingatii kanuni na taratibu za kazi yake bali hutekeleza kila anachoagizwa na Magufuli hata kama kitakuwa hakiendani na maadili ya kazi yake.
Mkuu wameshasema wao ni punda,ukiangalia kwa mbaaaaaliii unawezakupata maana zaidi ya u-punda wao.
 
Hao polisi wanaomlilia Mangu, wamezungumzia na kufel kwake kwenye mauaji ya polisi wenzao na mauaji ya kila siku uko mkuranga? au ni kwa sababu ya 'maslahi yao'
Kwa kweli!
 
Nina hisi mleta mada hajafanya utafiti kama aluvyo sema /andika. Nia yake ni discredit maamuzi ya Rais juu ya ndugu Mangu. Na hii ni kutokana na chuki alizonazo kwa uongozi wa awamu ya tano. Si dhani kama kuna askari anaweza kumlilia boss ambaye hakuoenyesha kuguswa kikweli kweli na matukio ya maafa ndani ya eneo lake la kazi.
 
Wanafanyakazi kisiasa kwa sababu wanasiasa hawataki kufanya na kuwahimiza wafuasi wako wafanyekazi za kuwaongezea kipato.

Hivyo kuleta sintofahamu na taharuki miongoni mwa jamii ambayo imejiandaa kufanyakazi ivo jukumu la polisi hapo ni kuwaondoa hao wavivu kwa nguvu ili wawajibikaji wapate muda wa kufanyakazi.

Tanzania sio nchi ya kiharakati.
 
Officially policeccm.

Polisi waache unafiki.
Watanzania wanaposema POLICCM wana maanisha hilo! Polisi kutumika na Vigogo wa CCM kunyanyasa Upinzani au kuwabambikia kesi Raia wasio na hatia lipo tangu enzi za Mahita, Mangu na sasa Siro.

IGP Mangu huyuhuyu Mapoliccm wake walihusika na mauaji ya Wana CHADEMA kule Olasiti/Soweto, Mapoliccm haohao chini ya IGP Mangu wamewakamata Wabunge wa Upinzani kina Lema, Lissu, Lijualikali, Mbowe, Mdee na wengineo na maelekezo ya Jeshi la Polisi pasi na sababu zozote za msingi.

Inachekesha kwa Magufuli kutengua uteuzi wa Mangu kwa vile labda kaona Mangu kshindwa kukomesha mauaji yanayoendelea Mkoa wa Pwani au kusimamia Mchanga wenye Madini. JPM lazima ajue kuwa Ufanisi wa Jeshi la Polisi una athiriwa na Serikali ya CCM kwa kuwapa Polisi maelekezo ya KUDHIBITI WAPINZANI kiasi kwamba wanashindwa kumudu kazi zingine kama za kuzuia ujambazi, wizi na mauaji kwa raia na Polisi wenyewe. Jeshi la Polisi liko BUSY kushughulikia Wapinzani badala ya wahalifu na kulinda mali za raia!!!!!
 
Kati ya viongozi wa majeshi ambao maaskari walikuwa hawawapendi ni MWAMUNYANGE, SULEIMAN KOVA na ERNEST MANGU, nadhani wamepumua baada ya wote sasa kumaliza muda wao

- Ukitaka kujua sababu unaweza kuuliza
 
Hao polisi wanaomlilia Mangu, wamezungumzia na kufel kwake kwenye mauaji ya polisi wenzao na mauaji ya kila siku uko mkuranga? au ni kwa sababu ya 'maslahi yao'

Naona anatetewa kwa upande mmoja vipi kuhusu kutatua changamoto za uhalifu,vipi kuhusu nidhamu kwenye jeshi la polisi,amejitshidi namna gani kujenga urafiki kati ya raia na polisi maana raia nae ni mdau wa usalama wa raia wenzake na mali zao
 
Kilichomuondoa Mangu ni kuwaomba radhi waandishi wa Habari ambao Baba Bashite yupo kwenye vita nao sababu ya kumzira mwanae kipenzi kubwa jinga Bashite..

Sababu ya kumuondoa sababu ya kutamalaki kwa mauaji ya raia na polisi haina mashiko. Mbona hajamgusa Mwigulu??

Na Sirro ni mtu wa kukamatwa masikio.. Ataendeshwa mpaka kile kipara kiote nywele upya.
 
Nimeicopy kama ilivyo kutoka mtamboni......

Baada ya kufanya mahojiano na askari polisi maeneo mbalimbali ya nchi hii kwa njia ya simu kwa wale wa mbali na wale wa karibu kuongea nao ana kwa ana hasa baada ya utenguaji na uteuzi wa mkuu mpya wa polisi IGP , askari wengi ambao niwazoefu na wamefanya kazi na viongozi hawa wote wana kiri kwamba utenguzi huo umewashtua na wengi umewaumiza sana

Wanadai kwamba Mangu alikuwa mtetezi wao mkubwa sana na amewatetea askari wake walio chini yake kwa nguvu kubwa sana ikiwa ni pamoja na kuihimiza serikali kuwaboreshea maslahi yao na mahitaji yao mbalimbali, ingawa kuna baadhi serikali ilikuwa ikilega lega kuyatimiza lakini Mangu alijitahidi sana kufuatilia.

Lakin pia wamedai Mangu ni mtu mwenye misimamo dhabiti na anayejua vema kusimamia maadili na miongozo ya kazi yake kikamilifu, asiye yumbishwa , asiye ingiza siasa katika kazi au yupo radhi akae kimya na asiwe muongeaji kabisa pale anapo ona kuna mbinu zinazo kiuka madili ya kazi yake na kama mbinu hizo zipo juu ya uwezo wake kimaamuzi

"Unajua kaka huyu jamaa kwakweli sisi kama askari tulikuwa tunampenda sana maana ni kiongozi aliye kuwa akitujali sana na ametupigania sana serikalini ili tupate baadhi ya stahiki zetu kwakweli jamaa ametufaa sana ila ni basi tu kaka maana huyu mwingine kisha ingizwa kwenye siasa yaani daah sijui lakin ila nimeumia sana lakin sisi hatuna tatizo kaka sisi ni punda tu yeyote anaye kabidhiwa mjeredi kutuongoza sie tutavuta mzigo tu hahaaaa" alisikika afande mmoja akitoa yake ya moyoni huku akimalizia na kicheko

Lakin pia walio wengi wamemuongelea Sirro kuwa hana shida katika utekelezaji wa majukumu yake lakini huwa si mtu anae weza kusimamia misimamo ya kazi yake na kwa sasa amepoteza ule u Sirro aliokuwa nao hapo zamani, wamemuingiza kwenye siasa kinguvu,, ila naye si mbaya ingawa hatujui akipewa madaraka makubwa hayo atakuwaje lakin kwa hali ilivyo sasa na utawala huu wa sasa askari wengi wame hofia kufanya kazi kisiasa zaid kuliko kuzingatia kanuni ,taratibu, miiko na weledi wa kazi yako

Nadhani labda ulitakiwa useme kuwa wale washirika na wafaidikaji wa Makandokando ya Former IGP Mangu wanamlilia.
 
Mangu kasubiria mwenyewe hili dhalilisho kwa maana ya kuwa alikuwa na tamaa ya madaraka.

Toka siku ile Rais alipotamka "I wish i could be IGP" ndiyo siku hiyohiyo IGP Mangu alipaswa kuandika barua ya kujiuzulu.

Tatizo viongozi wetu hawajui kusoma alama za nyakati!
 
Nimeicopy kama ilivyo kutoka mtamboni......

Baada ya kufanya mahojiano na askari polisi maeneo mbalimbali ya nchi hii kwa njia ya simu kwa wale wa mbali na wale wa karibu kuongea nao ana kwa ana hasa baada ya utenguaji na uteuzi wa mkuu mpya wa polisi IGP , askari wengi ambao niwazoefu na wamefanya kazi na viongozi hawa wote wana kiri kwamba utenguzi huo umewashtua na wengi umewaumiza sana

Wanadai kwamba Mangu alikuwa mtetezi wao mkubwa sana na amewatetea askari wake walio chini yake kwa nguvu kubwa sana ikiwa ni pamoja na kuihimiza serikali kuwaboreshea maslahi yao na mahitaji yao mbalimbali, ingawa kuna baadhi serikali ilikuwa ikilega lega kuyatimiza lakini Mangu alijitahidi sana kufuatilia.

Lakin pia wamedai Mangu ni mtu mwenye misimamo dhabiti na anayejua vema kusimamia maadili na miongozo ya kazi yake kikamilifu, asiye yumbishwa , asiye ingiza siasa katika kazi au yupo radhi akae kimya na asiwe muongeaji kabisa pale anapo ona kuna mbinu zinazo kiuka madili ya kazi yake na kama mbinu hizo zipo juu ya uwezo wake kimaamuzi

"Unajua kaka huyu jamaa kwakweli sisi kama askari tulikuwa tunampenda sana maana ni kiongozi aliye kuwa akitujali sana na ametupigania sana serikalini ili tupate baadhi ya stahiki zetu kwakweli jamaa ametufaa sana ila ni basi tu kaka maana huyu mwingine kisha ingizwa kwenye siasa yaani daah sijui lakin ila nimeumia sana lakin sisi hatuna tatizo kaka sisi ni punda tu yeyote anaye kabidhiwa mjeredi kutuongoza sie tutavuta mzigo tu hahaaaa" alisikika afande mmoja akitoa yake ya moyoni huku akimalizia na kicheko

Lakin pia walio wengi wamemuongelea Sirro kuwa hana shida katika utekelezaji wa majukumu yake lakini huwa si mtu anae weza kusimamia misimamo ya kazi yake na kwa sasa amepoteza ule u Sirro aliokuwa nao hapo zamani, wamemuingiza kwenye siasa kinguvu,, ila naye si mbaya ingawa hatujui akipewa madaraka makubwa hayo atakuwaje lakin kwa hali ilivyo sasa na utawala huu wa sasa askari wengi wame hofia kufanya kazi kisiasa zaid kuliko kuzingatia kanuni ,taratibu, miiko na weledi wa kazi yako
Acha uongo,mbona mi nimepita makao yao makuu leo sijaona polisi yeyote akilia?
 
I wish I kudu be IGP!

Matamshi haya ya kifedhuli yalitolewa na Magufuli wakti wa kamatakamata ya Watuhumiwa wa Madawa ya kulevya baada ya Wafuasi wa Gwajima na Manji walipokuwa wakiimba mapambio na kusukuma gari!!!
Magufuli alitoa maelekezo ya utata kuwa kama yeye angelikuwa IGP basi gari la Manji lingewekwa rokapu na wale Wanakwaya wote wa Gwajima wangelipelekwa Segerea wakaimbie mapambio huko!!!!!
Haya hayawezi kuchukuliwa kama ni matamshi ya Kiongozi wa nchi mwenye busara baali matamshi ya Mtawala fulani aliye lewa madaraka na aliyejaa kibri na chembechembe za Udiktet!!!
 
Nimeicopy kama ilivyo kutoka mtamboni......

Baada ya kufanya mahojiano na askari polisi maeneo mbalimbali ya nchi hii kwa njia ya simu kwa wale wa mbali na wale wa karibu kuongea nao ana kwa ana hasa baada ya utenguaji na uteuzi wa mkuu mpya wa polisi IGP , askari wengi ambao niwazoefu na wamefanya kazi na viongozi hawa wote wana kiri kwamba utenguzi huo umewashtua na wengi umewaumiza sana

Wanadai kwamba Mangu alikuwa mtetezi wao mkubwa sana na amewatetea askari wake walio chini yake kwa nguvu kubwa sana ikiwa ni pamoja na kuihimiza serikali kuwaboreshea maslahi yao na mahitaji yao mbalimbali, ingawa kuna baadhi serikali ilikuwa ikilega lega kuyatimiza lakini Mangu alijitahidi sana kufuatilia.

Lakin pia wamedai Mangu ni mtu mwenye misimamo dhabiti na anayejua vema kusimamia maadili na miongozo ya kazi yake kikamilifu, asiye yumbishwa , asiye ingiza siasa katika kazi au yupo radhi akae kimya na asiwe muongeaji kabisa pale anapo ona kuna mbinu zinazo kiuka madili ya kazi yake na kama mbinu hizo zipo juu ya uwezo wake kimaamuzi

"Unajua kaka huyu jamaa kwakweli sisi kama askari tulikuwa tunampenda sana maana ni kiongozi aliye kuwa akitujali sana na ametupigania sana serikalini ili tupate baadhi ya stahiki zetu kwakweli jamaa ametufaa sana ila ni basi tu kaka maana huyu mwingine kisha ingizwa kwenye siasa yaani daah sijui lakin ila nimeumia sana lakin sisi hatuna tatizo kaka sisi ni punda tu yeyote anaye kabidhiwa mjeredi kutuongoza sie tutavuta mzigo tu hahaaaa" alisikika afande mmoja akitoa yake ya moyoni huku akimalizia na kicheko

Lakin pia walio wengi wamemuongelea Sirro kuwa hana shida katika utekelezaji wa majukumu yake lakini huwa si mtu anae weza kusimamia misimamo ya kazi yake na kwa sasa amepoteza ule u Sirro aliokuwa nao hapo zamani, wamemuingiza kwenye siasa kinguvu,, ila naye si mbaya ingawa hatujui akipewa madaraka makubwa hayo atakuwaje lakin kwa hali ilivyo sasa na utawala huu wa sasa askari wengi wame hofia kufanya kazi kisiasa zaid kuliko kuzingatia kanuni ,taratibu, miiko na weledi wa kazi yako
Kwa mara ya kwanza tangu aondoke IGP Mahita polisi saivi wamepata mtu sahihi, Said Mwema na Mangu hawakua watu sahihi, ukitaka kujua Sirro ni mtu wa aina gani waulize watu wa kanda maalumu au mikoa ya kipolisi Kindondoni, Ilala na Temeke kati ya Mangu na Sirro nani yuko karibu na aaskari kwenye shida na raha kama sio Sirro, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Watu mnaohoji kwanini Mangu kabadilishwa mnasahau Rais alishafanya mabadiliko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ni Mangu tu ndo alikua hajabadilishwa, anzia Tiss, Jwtz, Magereza, Uhamiaji, Fire polisi ndo ilikua bado.
 
Waache kulia lia bali wampe ushirikiano alieteuliwa.Haya ni mambo ya kiserikali huwa hayahitaji MAZOEAAAAAA
 
Kuwaomba radhi waandishi wa hanari ndio kulikomfukuzisha!Nikupe mfano,TMAA kwa mujibu wa Rais imeshindwa kufanya kazi,pamoja na yenyewe kufutwa lakini waziri husika ametenguliwa nafasi yake kwa kushindwa kuisimamia TMAA!
Sasa jiulize,kama issue ni mauaji ya polisi,inakuwaje waziri mwenye dhamana kabaki salama????
Wenye akili wanajua
Mkuu wamesema issue ni mauaji ya polisi?
 
Back
Top Bottom