Sawa mjinga mwenzangu😂😂😂Wajinga kama ninyi hamtakaa muishe kamwe
Wasiojulikana wamefanya yao waziwazi au sio?Sawa endelea kuniita mjinga
Wasiojulikana wamenogewa sasa wanafanya waziwazi kabisaKwakuwa serikali imeamua kukaa kimya kwa kila kitu hata ikihujumiwa si kitu
Ila wawe ma hadhari makuzi ya kibaolojia yanatumia muda so ikipatikana manipulate yeyote kaxi ni kaxi bila utu
Wewe Hujielewi kama unajilewa nenda kawaulize heche Yuko wapi Sasa hiviPolice wachukue mtu mahakamani alafu Usema ataonekana haiwezekani
Wasiojulikana wamenogewa sasa wanafanya waziwazi maana hakuna wa kuwashtaki, rejea mzee alikibao alichukuliwa na wao kisha wakasema sio waoKweni Polisi wanakinga ya kutoshtakiwa?🤔
Dawa ni kuondolewa kinga ili mapolisi tuyapandishe vizimbani ili mkono wa sheria ufanye kazi yake hapo vipi wadau?Wasiojulikana wamenogewa
AiseeNipo hapa kuthibitisha kuwa Jeshi la Polisi nchini chini ya IGP Wambura ndio wanaowaua watu na kuwateka kwa sababu hakuna wakenya wala waganda watakaokuja kuua watu katika taifa letu. Asipoatikana John Heche itakuwa ni aibu kwa taifa haiwezekana mtanzania anachukuliwa mbele ya macho ya watu Elfu 60 kwani inashindikana nini kusema kuwa Heche yupo sehemu fulani whats wrong police!!!!!
Polisi!!!!Polisii!!! mnakera sana.
Mob Justice ni fundisho zaidi kuliko kizimba cha Mahakama, rejea wale TRA waliopigwa vitofa kule kwa Ndevu wakihisiwa kua ni watekaji sasa ikipigwa ile mara 3 au 4 hivi akili lazima ziwarudi wataacha kujifanya wasiojulikanaDawa ni kuondolewa kinga ili mapolisi tuyapandishe vizimbani ili mkono wa sheria ufanye kazi yake hapo vipi wadau?
AiseeHabari kutoka ndani kabisa huyu makamu mwenyekiti wa chadema ndio ameshapotezwa hatoonekana tena sababu alionekana anakiherehere kuwaaribia watawala ulaji wao hivyo wameona wampoteze na watanzania lazima watalalamika siku mbili watasahau hivyo ndugu zangu jiandaeni maisha mapya bila heche
Unaakili timamu?Yaani mtu achukuliwe wazi kivile halafu apotezwe? labda kahifadhiwa sehemu fulani watamtoa mambo yakipita
Baadae watasema waliomchukua sio wao utafanyaje wewe km wewe?Yaani mtu achukuliwe wazi kivile halafu apotezwe? labda kahifadhiwa sehemu fulani watamtoa mambo yakipita