Jeshi la Polisi Mbeya lakanusha kumkamata Mdude Nyagali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,306
Reaction score
271,600
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo

Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa Mdude wawasilane na Jeshi la Polisi ili kusaidia Uchunguzi.

Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Swali ni hili: Aliyemkamata Mdude ni nani na Je Mdude yuko hai au Wamemuua?

--
Polisi Mbeya.jpg
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo

View attachment 3322777View attachment 3322779

Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa Mdude wawasilane na Jeshi la Polisi ili kusaidia Uchunguzi

Swali ni hili: Aliyemkamata Mdude ni nani na Je Mdude yuko hai au Wamemuua?

Kwa hakika, Nchi hii inahitaji kukombolewa
 
Huyu hapa anqcheza na mwijaku

Sasa hivi wako mbioni kuanzisha tukio kuwatoa relini watanzania ishu ya FR kitima Mdude Nyagali. Nadhani wameshamuapproach mwijaku akubali kurekodiwa akitatuliwa marinda halafu wasambaze video. Na mwijaku alivyo Hana mshipa WA aibu atakubali Tu Tena atafurahi.

Nyau de adriz
 
Baadhi ya Taasisi watendaji wake wanaishi kwa hofu sababu ya amri za wakubwa wao ndo maana hata Jambo la haramu kisheria hulazimika kufanya sababu ya maagizo Toka kwa wakubwa kwao.
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo

View attachment 3322777View attachment 3322779

Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa Mdude wawasilane na Jeshi la Polisi ili kusaidia Uchunguzi

Swali ni hili: Aliyemkamata Mdude ni nani na Je Mdude yuko hai au Wamemuua?
Kuna siku yatawakuta na wao
 
Hii ni habari mbaya, ogopa sana polisi wakisema hawajui ulipo na hawausiki na kupotea kwako. Kwa kifupi inawezekana Mdude akawa ameumaliza mwendo.
Mbaya zaidi hakuna kitu wanachadema wenzie watafanya zaidi ya kupost unafki mitandaoni as if wamesikitishwa baadae atasahaulika kama Soka. Hakuna yoyote ata risk maisha yake kupigania haki ya kina Mdude zaidi ya kupost maelezo yaliyojaa uchungu yasiyo na msaada wowote.
Kijana wa kitanzania kuwa makini na wanasiasa watakutumia tu kwenye maslahi yao likikukuta ni lako peke yako na familia yako.
Japo Mdude alifurahia kifo cha Magufuli lakini nimesikitika sana na mwisho wa hii safari yake, alikuwa ni kijana mdogo aliyetumika vibaya kwa maslahi ya wanasiasa na wanaharakati.
 
Back
Top Bottom