Hahahaha teh teh teh hao jamaa siku izi wamekuwa kama kuku wa kienyeji yaani ukiwaangalia hata mguuni kila mtu na kiatu chake yaani wao hupewa suruali na shati tu vilivyobaki wajitafutie. Ndiyo maana jamaa hana koti la mvua hata mkanda wake umechoka inawezekana tokea apewe alipokuwa ccp miaka ya sabini. Nahisi serikali yao kama imewasahau. Teh teh teh teh ila kazi zingine mmh si hata zakukimbilia maana nipo namtoto wa darasa la kwanza kananiambia ile kaz mbaya askari kalowa anatetemeka baridi kama kandege