Jeshi la pilisi mpo wapi

hips.com

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
344
Reaction score
91
Kuna traffic hapa ubungo mataa ananyeshewa na mvua balaa hana raincoat wala mwavuli lakini anaongoza magari no foleni no jam.ni mchapakazi ila nawasiwasi na pneumonia
 
Askari anafanya kazi ktk mazingira yoyote.
Ukianza hivyo baadae utadai apelekewe kochi akalie maana husimama muda mrefu.
 
Mmh jamani hata koti au ndo kujituma.
 
Ni sehemu ya kazi yake wala usimpe sifa sana ni wajibu wake
 
Ukitaka kujuwa ananyeshewa au la kamvue kofia uone kichomo ndani yake we unateseka unamwonea huruma anayekula raha
 
We hujui tarehe 1mwezi wa 5 inakuja.huyo anataka apate zawadi ya mfanyakazi bora wa mwaka.
 
Hili ni jeshi jipya bila shaka ''pilisi''
 
Haya ni mazingira magumu ya kazi.si kweli kuwa kunyeshewa na mvua ni sehemu ya kazi ya polisi.na ni mambo haya yanayosababisha watumishi kutokuwa waadilifu kwa sababu wanaona hawajaliwi
 
We charger c nimekwambia nimambo ya cm za tachi salsa mbona udukuzi unaendelea Ntalia kama mheshimiwa nanihiii
 
Narekebisha hapo mapemaaa kabla ya wadukuzi namaanisha. Sasa. Mpoooo
 
Ahaaa, nimemwona yule vehicle inspector kweli kalowa chapa chapa. Mtoto wa kiume yule mwacheni apige mzigo, sio km hawa mipunga wanaotetea ushoga hapa JF.

Hakyanani kuna watu wamekosa haya hapa duniani
 
Ndiyo maana mafunzo yao hayafanyiki kunduchi hotel huku wakila kuku, wanatakiwa kuwa wakakamavu. Acha afanye, kaishaokota buku mbili mbili nyingi kwa madereva
 
Haya ni mazingira magumu ya kazi.si kweli kuwa kunyeshewa na mvua ni sehemu ya kazi ya polisi.na ni mambo haya yanayosababisha watumishi kutokuwa waadilifu kwa sababu wanaona hawajaliwi
mimi nahisi amesahau koti nyumbani, kwa sababu sifikirii hata kidogo kwamba jeshi la polisi haligawi makoti ya mvua kwa askari wake. kwa hiyo mimi kwa maoni yangu pamoja na kumuona huyu kama mchapa kazi lakini ni mzembe wa kusahau vitendea kazi kwa hiyo analitia aibu jeshi la polisi. nashauri aitwe na viongozi wake na kupewa onyo dogo tu la kawaida la mdomo.
 
We charger c nimekwambia nimambo ya cm za tachi salsa mbona udukuzi unaendelea Ntalia kama mheshimiwa nanihiii
Salsa ndo nn aisee.mbona leo michapio mingi sana,au mvua imeingia ndani?
 
Umenunua gazeti feki nlishatengua hiyo kauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…