Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Iran imesema kuwa inafanya mazoezi ya kijeshi ya drones pamoja na shosti yake Urusi. Mazoezi hayo yaliyoanza leo juma tatu nchini Iran yataendelea kwa wiki 2. Mazoezi hayo yanahusisha pia vikosi vya wanajeshi toka Belarus na Armenia.
Iran imesema kuwa lengo kuuu la mazoezi hayo ni Iran kushea uzoefu wake wa kivita na marafiki zake ktk nyanja za matumizi ya drones.
Ikumbukwe kuwa hivi karibuni Biden ameilalamikia Iran kuwa Iran inapeleka mamia ya drones kwenda Urusi kwa ajili ya kuzidi kuichoma na kuangamiza Ukraine.
====