Jeshi la IDF linaendelea kuwashambulia Hamas

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,177
Reaction score
7,705
Baada ya Hamas kushindwa vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wanafuatwa popote walipo na kuuwawa na wengine waliokuwa wamebaki kwenye mahandaki

Njaa imeanza kuwatoa huko na wanaojisalimisha wanatiwa mbaroni na wanaokaidi wanaangamizwa papa kwa papo.

Sasa hivi hakuna Nywinywinywi wala nyonyonyo kwa Hamas

Webabu mdogoye Adiosamigo gTurn na Mzee wa UHARO Ritz

Attachments

  • IMG_4613.jpeg
    142.4 KB · Views: 22
Hamas Bado ni nightmare Kwa mzayuni, ni kama kimbwengo japo mmewahadaa Kwa cease fire ya mchongo lakini na wao wanajipanga upya hii vita Gaza huwezi kuikalia ile
 
Hamas Bado ni nightmare Kwa mzayuni, ni kama kimbwengo japo mmewahadaa Kwa cease fire ya mchongo lakini na wao wanajipanga upya hii vita Gaza huwezi kuikalia ile
Mpigania khaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…