Please try to revisit you stories herein -wakati wote ni horror stories tu na kusifia waasi - hakuna popote unapoleta story zenye mizania - ni lawama tu zisizo kuwa na kichwa wala miguu - wakati mwingine nakuchukulia ni kama ni a paid mole uliye pandikizwa humu kwa lengo maalumu - sijawahi kukuona unashiriki kwenye topic nyingine zaidi ya kusifia so called M23 leadership quality na ujinga mwingine - yaani wewe masaa yote unawasifia sana waleta vurugu nchini Congo DRC, one more thing hizi latest photos na video clip nyingine za maiigizo tu hazina ukweli wowote, wewe hizi picha huwa unazipata pataje in advance - one may ask?? husitufanye wajinga.