Jeshi la China yavunja kambi za waharifu

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
11,259
2,000
Makundi yenye itikadi kali yavunjwa China

Vyombo vya habari nchini China vimeripoti kwamba maafisa wa polisi wameyavunja makundi 23 yenye itikadi kali na kuwakamata zaidi ya washukiwa 200 mwezi huu katika jimbo la Magharibi la shinjiang.

Tangazo hilo linafuatia shambulizi kali katika mji mkuu wa jimbo la Umruq lililosababisha mauaji ya watu 30.

China imewalaumu waislamu wenye itikadi kali kutoka jimbo hilo kwa misururu ya mashambulizi.

Kulingana na ripoti za vyombo rasmi vya habari maafisa wa polisi walitekeleza misako iliowanasa watu kadhaa na kukamata vilipuzi kadhaa.

Xhinua imeripoti kwamba idadi kubwa ya watu waliokamatwa wanatoka katika kundi la jamii ya waislamu walio wachache wa Uighur ambao wana ujuzi wa kutengeza vilipuzi kupitia kanda za video katika mtandao.

Pia imeshtumu washukiwa hao kwa kueneza ujumbe wa jihad kupitia mitandao ya kijamii.

Beijing imewalaumu watu wanaotaka kujitenga wa jamii ya Uighur kwa misururu ya mashambulizi katika maeneo mbali mbali nchini humo.

Lakini watu wa jamii ya Uighur walio mafichoni wamesema kuwa ghasia hizo zinachochewa na ukandamizaji wa dini na utamaduni wa Uighur unaofanywa na serikali.

News
Nyumbani
ENG | KIS © Tigo
 
time theory

JF-Expert Member
Nov 22, 2013
768
1,000
Mi sielewagi pale vikundi kadhaa vinapokandamizwa na serikali alafu vyenyewe vikilipa kisasi vinalipa kwa raia wasio na hatia!!!

Nielewesheni jamani.
 
MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,811
2,000
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,273
2,000
Waje na huku kuwaondosha Uamsho... Nyie kina kahtaan Mnamatatizo gani?

Ila navyojua Allah atawalinda Waisilamu wa China... sikuwa na ufahamu kuwa na huko ile habari ya kuua kigaidi mbinguni unapata mabikira walionona...
 
Last edited by a moderator:

kahtaan

JF-Expert Member
Jul 11, 2009
17,627

Mliwa leo.
Hao wachina wanao wasumbua wanaomuabudu MUNGU MMOJA ni km wewe.
Wao wanaabudu sanamu la buda, we unaabudu sanamu la mzungu kavishwa nepi.

Kwa hivyo lzm mchukie waumini wa kweli.
 
Sanamu la Waislam ni Sanamu haswa na halijawahi pata kuwa na uhai...

Farao alikuwa analiomba Sana Mwarabu mwenzenu.. lakini hakufua Dafu kwa Mungu wa Mussa...
 
kahtaan

JF-Expert Member
Jul 11, 2009
17,627
2,000
Sanamu la Waislam ni Sanamu haswa na halijawahi pata kuwa na uhai...

Farao alikuwa analiomba Sana Mwarabu mwenzenu.. lakini hakufua Dafu kwa Mungu wa Mussa...

Unajua ukitaka kutambua uwezo wa akili binaadamu basi tazama matendo yake tu.

Hio stori hapo juu hata mwendawazimu atakushangaa.
Hebu ingia msikiti wwt duniani kama utakuta sanamu au picha ya kiumbe yyt.

Sasa km kweli waislamu wanaabudu huo utumbo hapo juu, hio ibada wanaifanyia wapi!?

Makanisa yote yamejaa masanamu ya mzungu aliyevaa nusu uchi!
Watu na akili timamu wanasujudia na kulipigia goti sanamu la mzungu.

Mababu zetu wamepigania watu watokane na ukoloni, nyie bado mnakuwa watumwa wa mzungu mpaka leo.
Tena afadhali hata wale wa mwanzo walikuwa viumbe hai.! Nyie mnatumikishwa na SANAMU.

Yaani ugalatia ni kazi ya ziada
 
Tayeb

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
434
195

Dr kahtaan,

Ni nani aliewaroga hawa WAGALATIA?!
 
Last edited by a moderator:

msafwa93

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,611
2,000
Hahaha..
Mmi nasema na ntaendlea kusema,waislamu ndo watakaopelekea mwisho wa dunia,hawa watu wan vurugu sana..
Sijui wakija kuambiwa hakuna dini inayoitwa islam,ni waarabu tu waliwadanganya watafanyaje.!maana wanaua kwa kisingizio cha kuagzwa na quran..
Wakristo wakiambiwa hakuna ukristu n wazungu tu walidanganya watasikitika kwasababu ya kupoteza mda tu ila hawatajutia kingne kama waislam..

NOTE::DINI YANGU IPO KATIKATI YA MAPAJA YA MWANAMKE,hzo nyngne(uislamu na ukristo) nawaachia wajinga mgombanie kitu ambacho hata hamjawah kukiona na hamna wakika nacho..
 
Mjerumani Chotara

Senior Member
Jan 29, 2014
153
0

Kama Umekosa cha Kucoment hapa ni bora Ungefanya kazi nyingine Mkuu. Huoni kwa akili ya Kawaida kabisa hapo Ushatukana?? Tujifunze nini sasa kutokana na Comment yako???.
 
msafwa93

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,611
2,000
Kama Umekosa cha Kucoment hapa ni bora Ungefanya kazi nyingine Mkuu. Huoni kwa akili ya Kawaida kabisa hapo Ushatukana?? Tujifunze nini sasa kutokana na Comment yako???.

Jifunze kwamba kuna mungu mmoja tu duniani,yule aliye katikati ya mapaja ya mwanamke,maisha yako dunian yameanzia hapo,na mpaka sasa hapo panakupa furaha..
Mnaamini vitu ambvyo hata hamjawahi kuviona..
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,273
2,000
Unajua ukitaka kutambua uwezo wa akili binaadamu basi tazama matendo yake tu.

Hio stori hapo juu hata mwendawazimu atakushangaa.
Hebu ingia msikiti wwt duniani kama utakuta sanamu au picha ya kiumbe yyt.

Sasa km kweli waislamu wanaabudu huo utumbo hapo juu, hio ibada wanaifanyia wapi!?

Makanisa yote yamejaa masanamu ya mzungu aliyevaa nusu uchi!
Watu na akili timamu wanasujudia na kulipigia goti sanamu la mzungu.

Mababu zetu wamepigania watu watokane na ukoloni, nyie bado mnakuwa watumwa wa mzungu mpaka leo.
Tena afadhali hata wale wa mwanzo walikuwa viumbe hai.! Nyie mnatumikishwa na SANAMU.

Yaani ugalatia ni kazi ya ziada
Muhahahahaha Hivyo Kibra ni wapi? au haipo! huko ndipo alipo Allah Sanamu la Mungu Mwezi hebu waeleze imamu wako alivyokudanganya au anavyowadanganya nini maana ya huo Mwezi juu ya kila msikiti wa Allah wenu? maana yake tu yaelekea wewe ni mfuata mkumbo...

Allah hapo napo utakataa alivyosema mmuabudu na hiyo mikono au wataka kusema mmejitungia tu? Ala akubali!
 
kahtaan

JF-Expert Member
Jul 11, 2009
17,627
2,000
Muhahahahaha Hivyo Kibra ni wapi? au haipo! huko ndipo alipo Allah Sanamu la Mungu Mwezi hebu waeleze imamu wako alivyokudanganya au anavyowadanganya nini maana ya huo Mwezi juu ya kila msikiti wa Allah wenu? maana yake tu yaelekea wewe ni mfuata mkumbo...

Halafu unacheka km umekalia kipande cha sausage ya nguruwe!

Wewe ni mtoto mdogo sana ktk elimu, na kujaribu kukuelekeza wewe ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi ukitegemea atacheza.

Andiko linasema.
Methali 26.

Usimjibu mpum.bavu sawasawa na upum.bavu wake; Usije ukafanana naye.-

Na mimi nasema haleluyah to that!
 
kahtaan

JF-Expert Member
Jul 11, 2009
17,627
2,000
Dr kahtaan,

Ni nani aliewaroga hawa WAGALATIA?!

SHETANI PAULO! mkuu.

Na uliberali kawafundisha HUYOHUYO.

Hebu msome hapa anavyo waomba penzi kina Mlaleo na Somji Juma malekani.

1 wakorintho 9

Ni askari gani aendaye vitani wakati wo wote kwa gharama zake mwenyewe? Ni nani apandaye mizabibu asiyekula katika matunda yake? Au ni nani achungaye kundi, asiyekunywa katika maziwa ya kundi?

Kwa maana katika torati ya Musa imeandikwa, Usimfunge kinywa ng'ombe apurapo nafaka. Je! Hapo Mungu aangalia mambo ya ng'ombe?

10 Ikiwa sisi tuliwapandia ninyi vitu vya rohoni, je! Ni neno kubwa tukivuna vitu vyenu vya mwilini?

Hapo wagalatia lzm watoe penzi kwa kila mchungaji aliyepanda vyao vya rohoni.
 
Allah hunusa makalio mswalipo asiye tawadha humsafisha mwenyewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom