Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 152
Kuna vijana wanajeshi pale msata
Wanasumbua sana raia pale msata
Wanawapa raia vichapo na kuwaibia
Mali zao pasipo sababu nimepata
Kisa hiki ofisini kwangu hawa vijana
Wanashusha hadhi ya jeshi letu pale
MSATA naomba Ngazi husika ijue hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini ungekwenda hapo kwao Msata kupeleka malalamiko ingependeza zaidi, maana hizo ngazi husika sidhani kama zimo humu.Kuna vijana wanajeshi pale msata
Wanasumbua sana raia pale msata
Wanawapa raia vichapo na kuwaibia
Mali zao pasipo sababu nimepata
Kisa hiki ofisini kwangu hawa vijana
Wanashusha hadhi ya jeshi letu pale
MSATA naomba Ngazi husika ijue hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama shairi vile?Kuna vijana wanajeshi pale msata
Wanasumbua sana raia pale msata
Wanawapa raia vichapo na kuwaibia
Mali zao pasipo sababu nimepata
Kisa hiki ofisini kwangu hawa vijana
Wanashusha hadhi ya jeshi letu pale
MSATA naomba Ngazi husika ijue hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasahivi ni jeshi lote, tembelea Kabuku Tanga siku za mshahara utagundua nidhamu ya Jeshi sikuhizi imekwisha, pale kuna JKT Mgambo, nishida kwakweli. Wahusika mliangalie hili kwa kina, nidhamu ya zamani imepoteaKuna vijana wanajeshi pale msata
Wanasumbua sana raia pale msata
Wanawapa raia vichapo na kuwaibia
Mali zao pasipo sababu nimepata
Kisa hiki ofisini kwangu hawa vijana
Wanashusha hadhi ya jeshi letu pale
MSATA naomba Ngazi husika ijue hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabora ni shida, si ya wanaume, ni ya vibaka, wezi na majambazi. Polisi nao ama wamewashindwa, au kuna mgomo baridi. Asubuhi, mchana wanakunywa, usiku wanakaba na kuiba. Bar haziruhusiwi kufunguliwa mpaka saa kumi, pombe wanapata madukani. Polisi, watendaji kata na maafisa biashara wanawaona, madhara yake wanayajua, lakini hawachukui hatua.Inawapasa tuwahamishie Tabora wakagongane na vidume wa kule!
Maana kule kila siku twapokea taarifa za misiba ya wajeda wenzao!