nchi ya majaribioHuyo mdada ni muongeaji? Kama ana elementi za baba yake basi apewe tu wizara tuone kama anafanana na baba yake
watoto wote wa vigogo watajaribiwanchi ya majaribio
Ukatili wa kitu gani?Ahsante sana mama kwa kuonesha "utu" kumkumbuka "rafiki yako katika kazi"
Kwa uzee wangu, nimeona umetekeleza wosia wa wazee wetu wa kale "Kama ulikuwa unawatembelea wazazi wako wakiwa hai (kijijini) kwa kuwasalimu na kuwapa zawadi basi endelea na utaratibu huo hata watakapo kuwa wameondoka kwa waliokuwa marafiki zao (baba & mama).
Hakika MAMA umefanya jambo la maana sana na linalompendeza mungu.
Kwa kuendeleza undugu zaidi mpe "unaibu waziri" wa wizara aliyoanza nayo baba yake, pia ikikupendeza zaidi muweke kwenye kamati ya kampeni awe anashika "maiki" ukiizunguka nchi.
"YAANI AKIONGEA HUKU AKITABASAMU, UKIMUANGALIA USONI KWA JICHO LA ROHONI UNAONA KABISA ANA UKATILI FULANI HIVI WA MAGU, HAKUNA HAJA YA DNA" napendekeza apewe zile wizara ngumu "zilizoshindikana" aendelee "kupiga spana" kwa watumishi wazembe 😂😁🤣 !!!
Wizara hupewi kwa uongeaji, hili ni tatizo kubwa among watanzania wanaodhani watoto wataperform kama baba zaoHuyo mdada ni muongeaji? Kama ana elementi za baba yake basi apewe tu wizara tuone kama anafanana na baba yake
Dada yake tumempa Udas hana jipya pale MorogoroHuyo mdada ni muongeaji? Kama ana elementi za baba yake basi apewe tu wizara tuone kama anafanana na baba yake
Hamna kitu uchawa tu unawasumbuaAhsante sana mama kwa kuonesha "utu" kumkumbuka "rafiki yako katika kazi"
Kwa uzee wangu, nimeona umetekeleza wosia wa wazee wetu wa kale "Kama ulikuwa unawatembelea wazazi wako wakiwa hai (kijijini) kwa kuwasalimu na kuwapa zawadi basi endelea na utaratibu huo hata watakapo kuwa wameondoka kwa waliokuwa marafiki zao (baba & mama).
Hakika MAMA umefanya jambo la maana sana na linalompendeza mungu.
Kwa kuendeleza undugu zaidi mpe "unaibu waziri" wa wizara aliyoanza nayo baba yake, pia ikikupendeza zaidi muweke kwenye kamati ya kampeni awe anashika "maiki" ukiizunguka nchi.
"YAANI AKIONGEA HUKU AKITABASAMU, UKIMUANGALIA USONI KWA JICHO LA ROHONI UNAONA KABISA ANA UKATILI FULANI HIVI WA MAGU, HAKUNA HAJA YA DNA" napendekeza apewe zile wizara ngumu "zilizoshindikana" aendelee "kupiga spana" kwa watumishi wazembe 😂😁🤣 !!!
Hivi huyu si ndiyo yule Das au....... sijashika vizuri.Dada yake tumempa Udas hana jipya pale Morogoro
Uongeaji, mwonekano, uchangamfu na utiririkaji wote ni Hayati Dr JPM mtupu, jana nilimwonesha Swahiba wangu hiyo video akasema "kweli Mungu ni Fundi kiuumbaji"Huyo mdada ni muongeaji? Kama ana elementi za baba yake basi apewe tu wizara tuone kama anafanana na baba yake
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Ila kuna watot wanabeba mengi ya wazazi wao mfano mdogo angu wa kike ni dingi mtupu kwa mambo mengi
Das ni RuthHivi huyu si ndiyo yule Das au....... sijashika vizuri.