Jesca Kishoa Kafulila aibua ufisadi mwingine kampuni ya Shell

Kama hali ndio hii sasa huo ufisadi Upo wapi? Au shauri kuwa kwenye vyombo vya kimahakama ni ufisadi? Kama ni kweli kwamba hao BG wamedaiwa kodi na mamlaka husika halafu huyu anakuja na ufisadi basi nitawashangaa hao wanasiasa
Hakuna ufisadi uliofanyika au ulioibuliwa na huyo Kishoa.
 
Back
Top Bottom