Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,168
- 6,291
Wewe ndo hujui kinachozungumzwa. Au ulidhani Shell ni petro stations tu?Sidhani kama mleta hoja anajua anachoandika, Hivi wana JF kampuni ya SHELL ipo Tz.?

HahahaaaaaAmewaza shell ya vituo vya mafuta (filling stations)
Umeongea vizuri sana akini hii sentensi "Afadhali tunajenga Stiglers Gorge yetu kwa fedha zetu wenyewe (hata kama ni fedha ya mkopo) na kuachana na haya makampuni ya kinyonyaji" ina ukakasi! Turelax tuendelee kunyonywa kisa tuna alternative ya Stiglers George? hebu nifafanulie hapo kidogo, sijakuelewa kabisa!Mwanasheria mkuu wa serikali kesha lijibu vizuri tu suala hilo. Sasa wewe mwanahabari huru unalileta humu jf bila kuweka majibu ya serikali utakuwa mwanahabari gani?
Kwa kifupi AG kasema, baada ya kupata habari za mauziano hayo yaliyofanyika kwenye ngazi za nje ya nchi (globally) kati ya Shell na BG (British Gas), mamlaka yetu ya mapato (TRA) baada ya ukokotozi iliwapelekea madai ya hizo dolla hao Shell kama capital tax gain wanayotakiwa kutulipa kwa mjibu wa sheria. Shell walilalamika kuwa kiasi hicho ni kikubwa sana na hatimaye kufungua kesi kwenye International Abiritarration Court. Hadi sasa hukumu ya hiyo mahakama bado haijatolewa. Wanalalamikia kodi hiyo ipunguzwe kwa kiasi kikubwa.
Huo ndiyo mvutano kati ya TRA na hiyo Shell. Sababu siyo rushwa, ingalikuwa rushwa wangalikuwa wameshamalizana kati ya TRA na Shell na sisi kuambulia kiasi kidogo cha hiyo kodi. TRA imewakomalia sawa sawa hao wazungu. Shell na BG ni makampuni ya Ufaransa na Uingereza, na hiyo International Abiritarration Court ni ya huko huko. Huo ndiyo mfumo wa neocolonism unavyofanya kazi na hivyo kuna uwezekano mkubwa tusiambulie cho chote cha maana. Hakuna cha win-win situation kwenye mfumo huo. Shell ndiyo wamiliki wa gesi yetu ya Mtwara kwa sasa baada ya kupasiwa na hao British Gas. Afadhali tunajenga Stiglers Gorge yetu kwa fedha zetu wenyewe (hata kama ni fedha ya mkopo) na kuachana na haya makampuni ya kinyonyaji.
Hana lolote anataka hao Shell wamuhonge
A loose wapi?Naona baada ya mumewe ku-luzi fokasi ameamua kuingia mwenyewe vitani. Good job Kishoa.
Sidhani kama mleta hoja anajua anachoandika, Hivi wana JF kampuni ya SHELL ipo Tz.?
Kama vile kuna ukweliKila kitu kimevurugwa kwa ivo ukiwa na swali tafuta majibu wewe mwenyewe usije ukawakera wanaotakiwa kujibu wakushukie kwa ghadhabu!
Umeshajibiwa, msikurupuke, mjifunze kusoma na kuelewa Sio kusoma ili ujibuSidhani kama mleta hoja anajua anachoandika, Hivi wana JF kampuni ya SHELL ipo Tz.?
Hatuta relax tuendelee kunyonywa. Mikataba yote ya kinyonyaji ya makampuni haya yanapitiwa upya na AG wetu ili ya comform na sheria yetu mpya ya win win of our natural resources. Watatupeleka kwenye mahakama zao hizo wanazoziita za kimataifa lakini hatutakubali waendelee kutunyonya. Wakati tunaendelea kuvutana nao kisheria sisi tunaendelea na ujenzi wa Stieglers Gorge kwa fedha zetu wenyewe maana hatujui huo mvutano wa kisheria utachukua miaka mingapi. Hata hatima ya huo mvutano hatujui utakuwa vipi, na inawezekana ukawa ni sisi kulazimika kuyatimua makampuni haya kutoka nchini kwetu kwa gharama ye yote ile!Umeongea vizuri sana akini hii sentensi "Afadhali tunajenga Stiglers Gorge yetu kwa fedha zetu wenyewe (hata kama ni fedha ya mkopo) na kuachana na haya makampuni ya kinyonyaji" ina ukakasi! Turelax tuendelee kunyonywa kisa tuna alternative ya Stiglers George? hebu nifafanulie hapo kidogo, sijakuelewa kabisa!

Royal shell ni kampuni ya Holland ilio haribu mazingira kwenye Niger Delta inashiriki kukiuka haki za binadamu barani afrikaHana lolote anataka hao Shell wamuhonge
Kama hujui kama shell ipo au haipo tz basi we kilaza na syo mleta hoja maana yeye ana uelewa kuliko wewe.sasa kama haipo si angejibiwa huko bungeni FCC NA TRA?Sidhani kama mleta hoja anajua anachoandika, Hivi wana JF kampuni ya SHELL ipo Tz.?
Kama hali ndio hii sasa huo ufisadi Upo wapi? Au shauri kuwa kwenye vyombo vya kimahakama ni ufisadi? Kama ni kweli kwamba hao BG wamedaiwa kodi na mamlaka husika halafu huyu anakuja na ufisadi basi nitawashangaa hao wanasiasaMwanasheria mkuu wa serikali kesha lijibu vizuri tu suala hilo. Sasa wewe mwanahabari huru unalileta humu jf bila kuweka majibu ya serikali utakuwa mwanahabari gani?
Kwa kifupi AG kasema, baada ya kupata habari za mauziano hayo yaliyofanyika kwenye ngazi za nje ya nchi (globally) kati ya Shell na BG (British Gas), mamlaka yetu ya mapato (TRA) baada ya ukokotozi iliwapelekea madai ya hizo dolla hao Shell kama capital tax gain wanayotakiwa kutulipa kwa mjibu wa sheria. Shell walilalamika kuwa kiasi hicho ni kikubwa sana na hatimaye kufungua kesi kwenye International Abiritarration Court. Hadi sasa hukumu ya hiyo mahakama bado haijatolewa. Wanalalamikia kodi hiyo ipunguzwe kwa kiasi kikubwa.
Huo ndiyo mvutano kati ya TRA na hiyo Shell. Sababu siyo rushwa, ingalikuwa rushwa wangalikuwa wameshamalizana kati ya TRA na Shell na sisi kuambulia kiasi kidogo cha hiyo kodi. TRA imewakomalia sawa sawa hao wazungu. Shell na BG ni makampuni ya Ufaransa na Uingereza, na hiyo International Abiritarration Court ni ya huko huko. Huo ndiyo mfumo wa neocolonism unavyofanya kazi na hivyo kuna uwezekano mkubwa tusiambulie cho chote cha maana. Hakuna cha win-win situation kwenye mfumo huo. Shell ndiyo wamiliki wa gesi yetu ya Mtwara kwa sasa baada ya kupasiwa na hao British Gas. Afadhali tunajenga Stiglers Gorge yetu kwa fedha zetu wenyewe (hata kama ni fedha ya mkopo) na kuachana na haya makampuni ya kinyonyaji.
Sidhani kama mleta hoja anajua anachoandika, Hivi wana JF kampuni ya SHELL ipo Tz.?
Huu nao ndio usen *ge wa kufa mtu, hivi tunashitakiwa nini BG na SHELL hawakujua kuwa kuna sheria kama hiyo, kwa hiyo tunaweza kushindwa kesi juu ya sheria wanaopaswa kuifuata? Nchi ya maajabu hii.Mwanasheria mkuu wa serikali kesha lijibu vizuri tu suala hilo. Sasa wewe mwanahabari huru unalileta humu jf bila kuweka majibu ya serikali utakuwa mwanahabari gani?
Kwa kifupi AG kasema, baada ya kupata habari za mauziano hayo yaliyofanyika kwenye ngazi za nje ya nchi (globally) kati ya Shell na BG (British Gas), mamlaka yetu ya mapato (TRA) baada ya ukokotozi iliwapelekea madai ya hizo dolla hao Shell kama capital tax gain wanayotakiwa kutulipa kwa mjibu wa sheria. Shell walilalamika kuwa kiasi hicho ni kikubwa sana na hatimaye kufungua kesi kwenye International Abiritarration Court. Hadi sasa hukumu ya hiyo mahakama bado haijatolewa. Wanalalamikia kodi hiyo ipunguzwe kwa kiasi kikubwa.
Huo ndiyo mvutano kati ya TRA na hiyo Shell. Sababu siyo rushwa, ingalikuwa rushwa wangalikuwa wameshamalizana kati ya TRA na Shell na sisi kuambulia kiasi kidogo cha hiyo kodi. TRA imewakomalia sawa sawa hao wazungu. Shell na BG ni makampuni ya Ufaransa na Uingereza, na hiyo International Abiritarration Court ni ya huko huko. Huo ndiyo mfumo wa neocolonism unavyofanya kazi na hivyo kuna uwezekano mkubwa tusiambulie cho chote cha maana. Hakuna cha win-win situation kwenye mfumo huo. Shell ndiyo wamiliki wa gesi yetu ya Mtwara kwa sasa baada ya kupasiwa na hao British Gas. Afadhali tunajenga Stiglers Gorge yetu kwa fedha zetu wenyewe (hata kama ni fedha ya mkopo) na kuachana na haya makampuni ya kinyonyaji.
Hizo ni mahakama zao zinazojiita ni za kimataifa. Hazitambui sheria zetu. Zinaangalia mikataba tu ya nyuma tuliyokubaliana nao hapo mwanzo. Hivyo uwezekano wa kushindwa kesi ni mkubwa.Huu nao ndio usen *ge wa kufa mtu, hivi tunashitakiwa nini BG na SHELL hawakujua kuwa kuna sheria kama hiyo, kwa hiyo tunaweza kushindwa kesi juu ya sheria wanaopaswa kuifuata? Nchi ya maajabu hii.