Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Hakuna Nilichoongeza wala kupunguzaKwenye kachumbari hii, umezidisha ndimu. Subiri waje wenye kujua zaidi.
Ccm yazidi kujivua nguoKazi ya Mungu inaendelea maccm wameshindwa kuongoza nchi ukawa chukueni nchi
Yes Kamanda freedom is very closeMungu tunaomba ututendee haki wa Tanganyika tunaelekea kubaya, Freedom is coming.
yule mkurugenzi katoka?
angalau wilaya itapumua.
Jesca Kishoa amhamisha mkurugenzi wa Iramba baada ya kutoa ufisadi wa kutisha katika halimashauri ya iramba jesca kishoa aliwaeleza wananchi juu ya ufisadi uliofanya na
halimashauri hiyo katika mikutano ya hadhara wiki iliyopita.
Baada ya heka heka ya jimbo la Iramba kwa mwigulu nchemba , Jeaca, George Gunda, Binti Chadema (HANJE), Pembe Msafiri pamoja na kamanda Emmanuely Shango . Sasa inaonyesha dhahiri kuwa uozo wa serikali kuwahamisha watuhumiwa wa ufisadi kutoka eneo moja kwenda jingine unaendelea kwa kasi yake badala ya kuwawajibisha. Hongera jesca kwa kazi nzuri Iramba.
Ndio nani huyo?
Ndio anguko la ccm linaanza kuonekanaSafi sana hii ya kuyatangaza maovu haya ya watumishi wanaopewa dhamana kwa wananchi ni nzuri sana. Hata serikali ikisema inamhamishia sehemu nyingine watu wawe wanajua kabisa makosa yake na itaweza kuchangia wananchi katika kumkataa
Nilidhani kafukuzwa kumbe kahamishwa
Nilidhani kafukuzwa kumbe kahamishwa
Ndio Chadema kiongozi
Ok nilitaka kujua ana wadhifa gani kwani hatuwafahamu wengi wao.