Jerusalem kwa mujibu wa BBC

Mungu tunusuru na chuki dhidi ya Makafiri
 

Tupo pamoja mkuu,
Lkn na swali moja tu kwani huo Msikiti upo kwenye ardhi ya israel au palestina??
 
Muhammad kazaliwa mwaka 570 baada ya Yesu, na utume kapata kutoka kwa mganga wa kienyeji mapangoni alipopelekwa kutibiwa homa na mkewe, ni Khadija(mganga akiitwa WaragaWaraqa- I stand to be corrected on this name). Na uislam umesimikwa rasmi mwaka 610, tena kwa vita baada ya kuwaua wachungaji na mapadri wengi ili kuutokomeza Ukristo.
Inashangaza sana Waislamu kusema Ibrahim alikuwa Islam.
 
Ukiwa mvivu Wa kusoma maandiko lazima uwe mtumwa...
Hata ukiambiwa Binadamu ni Mungu utakubali tu....sembuse tofauti ya uyahudi na ukristo...
 
Acha mbwembwe za kujifaragua juu ya mifumo ya kiarabu wakati kapuku tu.
 
Achana na Usilamu .......pambana na hari yako. hayo hayatakusaidia chochote utapata laana bure tu.
 
Finally a proof kuwa Bible is not a word from God but ni kutoka kwa watu tofauti tofauti
 
bbc wamejitahidi sana kuonyesha umuhimu wa Jerusalem kwa dini zote tatu lakini kuna watu kama Jackwillpower yanazani ni mji wa wayahudi na wakristo pekee wakati hata ndugu zetu waislamu wana historia yao ndani ya Jerusalem!!..
Ukifatilia sana hii mitoto ya mama Ellen G white ndo inayotetea zaidi upumbavuu huu!!..
nimeshajiandaa kwa ban aahh.
 
Ni nani amekuongopea kuwa waislamu wanasema Muhammad ni mungu wao? mbona mnapenda kuropoka vitu msivyovijua!
Mkuu wewe waangalie tuu ao jamaa yameshatoka maneno ya chuki ndan ya vinywa vyao na walioyaficha ktk nyoyo zao ni makubwa zaid
 
Nadhani ili kumaliza mzozo, mji huu uchukuliwe na dunia. Usikaliwe na Wayaudi wala Waparestina. UN itoe watu wa kuhudumia mji huu.
 
Mikristo isiyojua nini maana ya kuishi kwa kuvumiliana ndiyo inayosapoti Israel kujimilikisha Yerusalem yote wakati huo kumbukeni wakimaliza watoa waislamu watarudi dai na eneo la wakristo pia!!...
Yerusalem inabidi ibaki eneo la dini zote hata freemason na wasio na dini kama vipi wapate eneo tuu!!..
 

Umesoma hiyo makala ya BBC?
 
Tupo pamoja mkuu,
Lkn na swali moja tu kwani huo Msikiti upo kwenye ardhi ya israel au palestina??
Huo msikiti upo jerusalem mji ambao upo tangu israel ya kale,tatizo hapo ni colonization hiyo middle east ilitawaliwa karibu miaka 400 na dola ya ottoman hadi vita ya kwanza ya dunia ulipofanyika ugawaji wa ardhi huku kwetu takapata tanganyika .kwa kipindi hicho dola hiyo wayahudi walitawanyika sana toka katika ardhi hiyo kukimbia mateso ambayo kwa sehemu kubwa yaliface wao, wapelestina walikuwa ni watumwa wa kiarabu ambao walitoka katika nchi za kiarabu na wakaweka makazi hapo na wakaongezeka, baada ya vita hiyo mataifa makubwa likiwemo waingereza na wafaransa wakagawa mipaka wakiwa wamemega sehemu ambayo waparestina walifika kama watumwa na badaye yakawa makazi yao rasmi kama ilivyo liberia au visiwa vya karibian na kuwapa israel israel walipofika kwakuwa walikuwa na sapoti ya wazungu wakaanza kupora na maeneo walikuwa wanakaa wapelestina kwa kufata historia katika kwenye vitabu.Hivyo lile eneo ni la israel ambalo nao waliiba toka makabila mengine kwa kuyavamia kama Mungu alivyomwambia Musa ila wapalestine walikuja kama watumwa toka arabu ambao wanaasiri zinazofanana.hivyo tatizo hapo ni wazungu katika ugawaji wa nchi kama sasa hivi tuna wajuruo kenya na tanzania ila imesaidia sababu nyerere aliondoa ukabira.kiuarisia palestine hana sehemu ya kwenda ila israel pale ni pake kama wazungu wasingeigawa ile nchi kwa israel na palstine bali wangetengeza mazingira ya kuwatambua na kuwafanya waishi pamoja bila kuwatenga yasingetokea haya yote.mzozo ule auwezi kuisha kwani palestine hanasehemu ya kwenda na israel anasema pale pake palestine atoke .tuombe Mungu ule mzozo usiingizwe kidini ,maana vita ya kidini ni kubwa kuliko vita ya aina yoyote hata sisi atutakuwa salama maana kuna waislam na wakristo kama huko.
 
Kumbe Dini zote ni za Wayahudi? Kumbe sisi ni wafuasi wao, kumbe sisi wafuasi wa kilichomfikia myahudi kqa ajili yake, ile tu tukapewa offer tunataka hadi Maeneo yao yawe yetu, kama Trump na serikali yake wameamua kuutambua mji uliomo Israel kuwa makao makuu ya Israel, sisi wafuasi tulioenda kustaajabu vyanzo vya imani zetu tunataka tubaki huko huko? OK tubaki, lakini tujue mji wao mkuu ni Jerusalem, tena inajulikana Jerusalem Mashariki ya Nani na Magharibi ni ya Nani? Hata hao walowezi watangaze mji huo huo upande wao ndio makao yao makuu!
Wakishindwa hilo washindiwe wakae au washindwe wasimame.
Waliosema wayahudi wamejichimbia kaburi wawafukie au wawazike hapo
Wachukue mji.
Warumi, Warumi, Warumi!
 

Sheikh, Quraan ni mjumuiko wa vitabu vifuatvyo, Zaburi ya Daudi, Injil ya Yesu ( Issa) , Tourat ya Mussa na Furqan ya Muhammad ( SAW), na uislam haukuazia kwa Muhhamad, bali yeye ndie mtume wa mwisho .... na Mitume wote walikua waislam ... Allahu aalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…