Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Tanzania kuna mameya wengi sana. Hata Miji mikubwa ya Dar, Arusha, Mwanza na kwingineko kuna mameya, lakini wote wanafanya kazi zao. Kijana Jerry Slaa amekuwa mstari wa mbele kuuza sura kwenye ma Redio, Magazeti, TV na Blogs. Hivi huyu dogo anafahamu kweli kwamba hawa anaojipendekea kwao ndio watakao mwangusha? Subirini mtaona. Watu wanauchungu wa maisha, wwe badala ya kuwatumikia unatumia nafasi yako kuuza sura?
Source Jiachie
View attachment 26562
<br />Huyu ni utoto, mwisho wake ni mbaya kama makamba na wanaye. Jerry Silaa, sikia ushauri, mwisho wako utakuwa mbaya. Dar kuna Temeke, Ilala, Kinondoni Kawe, na Ubungo. Kote kuna mameya, iweje wewe ndo meya pekee. Yaani hata meya wa jiji ni kama mjinga kwa Jerry silaa. Wenzako wanakuangalia
Nichangie mada kwamba JS kama ukipata fursa ya kupitia hii thread, usiielewe vibaya. mtoa mada ametoa mchango wake kwa uhalisia wa mwenendo wako kwa sasa na lengo lake ni kutoa tahadhari wala si kukuponda. mtu anayependa kukusifia sifia hata pasipotakiwa hakufai. Huu ni ujumbe muafaka, usiuchukue kwa jicho hasi.