Jerry slaa mmmh

munimuni

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
110
Reaction score
69
najishangaa mwnywe nimekuwa nikimuota sana huyu stahk meya wa ilala duh cjui ni mawazo y maisha au vp?nkimwona kwny magazeti sasa nalisoma mwaka mzma,akiwa kwny habar nataman iwe habar hyo tu duh haya c majanga ya kuota ndto za alinacha?am i crazy?
 
Nadhani akipita huku atauona ujumbe wakoo..heheee
 
Kha,,,,!! ofisi yake unaijua ilipo??
 
Duh! Si bure,kalale uendelee kuota anaweza kukutangazia ndoa
 
najishangaa mwnywe nimekuwa nikimuota sana huyu stahk meya wa ilala duh cjui ni mawazo y maisha au vp?nkimwona kwny magazeti sasa nalisoma mwaka mzma,akiwa kwny habar nataman iwe habar hyo tu duh haya c majanga ya kuota ndto za alinacha?am i crazy?

umemona jerry slaa unachanganyikiwa je ukiniona mimi sindiyo utapagawa nipm kama vip
 
Jerry njoo pitia huku mkuu kaku-love na kuku-like, njoooo msikilize ila usisahau kumwambia kwamba una mke na watoto
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…