Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,153 Reaction score 185,459 Nov 9, 2025 #21 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 4,398 Reaction score 4,425 Nov 9, 2025 #22 zorewa said: Filiku alimtenda ubaya gani mzee kijana hadi astahili madhila hayo? Click to expand... Filikuludewa alikuwa amenyooka sana katika michango yake ya bungeni. Apumzike kwa amani. Mwingine aliyekuwa amenyooka yupo nje ni Ole Sendeka.
zorewa said: Filiku alimtenda ubaya gani mzee kijana hadi astahili madhila hayo? Click to expand... Filikuludewa alikuwa amenyooka sana katika michango yake ya bungeni. Apumzike kwa amani. Mwingine aliyekuwa amenyooka yupo nje ni Ole Sendeka.
Mwanadiplomasia Mahiri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2019 Posts 672 Reaction score 2,283 Nov 10, 2025 Thread starter #23 Dr am 4 real PhD said: Refer. Saga yake na GWAJIMA mpaka wakaitwa kwenye kamati ya maadili. Samia na serikali/ wanamtandao wame wa eliminate woteeeeeee ambao ni threat kwao. Click to expand... Gwajima kateuliwa leo
Dr am 4 real PhD said: Refer. Saga yake na GWAJIMA mpaka wakaitwa kwenye kamati ya maadili. Samia na serikali/ wanamtandao wame wa eliminate woteeeeeee ambao ni threat kwao. Click to expand... Gwajima kateuliwa leo
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 18,373 Reaction score 37,193 Nov 10, 2025 #24 Mwanadiplomasia Mahiri said: Gwajima kateuliwa leo Click to expand... JOSEPHAT GWAJIMA ndie tunae mzingatia... Dorothy GWAJIMA kaolewa na mdogo ake GWAJIMA
Mwanadiplomasia Mahiri said: Gwajima kateuliwa leo Click to expand... JOSEPHAT GWAJIMA ndie tunae mzingatia... Dorothy GWAJIMA kaolewa na mdogo ake GWAJIMA