Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 672
- 2,283
Jamaa yangu alisamamia uchaguzi.
Walikuwa na maelekezo ya kuwapa ushindi chama tawala.
Sasa najiuliza Jerry Silaa ameshindwaje Ubunge huku akiwa Waziri?
Ni wapi aliikosea mamlaka mpaka akapoteza Ubunge wake?
Uzi ufungwe. Yeyote atakayeuliza tena arudishwe kwenye hii comment.Kosa lake ni kumzidi umaarufu Ritz1.
Hebu funguka vizuri, nikuelewe nahisi unataka kusema jambo kubwa sana..Mda so mrefu na yeye kuna pande km na bonna utaliona hayo ni mapicha picha ya mboga mboga
Kumbuka huyu Babake alikuwa ruban, babake alikua kwenye helokopta moja FilikuNjombe ambaye inasemekana mzee kijana alimtupia bomu angani. HIVYO alivyopewa Uwaziri wa Ardhi aligusa mali za mzee kijana.Atakuwa Mzee mushi kampiga pini. Kile.kiwanja cha pale mikocheni jerry alimrudishia mwenyewe yule mama aliyekuwa UN lakini alipongolewa uwaziri wa ardhi tu.
Mzee Mushi akapiga chini wapangaji anajenga fremu mpya za ghorofa.
Alipokuwa Ardhi aligusa maslahi ya mtandao. Japo naye ni kijana wa ccm mtandao
Si mamlaka bwana. Atateuliwa zile nafasi kumi za Rais. Si mnaona Bona kateuliwa viti maalum.Jamaa yangu alisimamia uchaguzi.
Walikuwa na maelekezo ya kuwapa ushindi chama tawala.
Sasa najiuliza Jerry Silaa ameshindwaje Ubunge huku akiwa Waziri?
Ni wapi aliikosea mamlaka mpaka akapoteza Ubunge wake?
Bonna ni miongoni mwa wabunge viti maalum so si ajab ktk nafasi 10 za rais usishangae silaa akiteuliwa.Hebu funguka vizuri, nikuelewe nahisi unataka kusema jambo kubwa sana..
..nimeshangaa mpaka Bonna mafisiem yamemtema licha ya uchapakazi na ushawishi mkubwa aliokuwa nao!
ilikua Ishu gani Jerry ni mtu flani amenyooka japo ana mapungufu yakeRefer. Saga yake na GWAJIMA mpaka wakaitwa kwenye kamati ya maadili.
Samia na serikali/ wanamtandao wame wa eliminate woteeeeeee ambao ni threat kwao.
DuuuuKosa lake ni kumzidi umaarufu Ritz1.
Filiku alimtenda ubaya gani mzee kijana hadi astahili madhila hayo?Kumbuka huyu Babake alikuwa ruban, babake alikua kwenye helokopta moja FilikuNjombe ambaye inasemekana mzee kijana alimtupia bomu angani. HIVYO alivyopewa Uwaziri wa Ardhi aligusa mali za mzee kijana.
Jerry alisema alikataa rushwa ya Billioni alivokuwa Meya.Jamaa yangu alisimamia uchaguzi.
Walikuwa na maelekezo ya kuwapa ushindi chama tawala.
Sasa najiuliza Jerry Silaa ameshindwaje Ubunge huku akiwa Waziri?
Ni wapi aliikosea mamlaka mpaka akapoteza Ubunge wake?