Jerry Murro aukumbuka Uandishi wa Habari

Akizungumza na Clouds TV , Mkuu wa Wilaya aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Mh Jerry Murro amesema kwamba , anamiss sana mambo ya uandishi wa habari na hasa habari za Uchunguzi .

Akizungumza kwa unyenyekevu huku akionekana afya yake imeporomoka kidogo , lakini akiwa bado na uso wenye Bashasha , amemwambia Gadner G Habash kwamba , kwenye hii ripoti ya CAG lazima angeibuka na Makala ya Uchunguzi

Nimefarijika sana kumsikia Jerry Murro akiongea kwa upole namna hii , kumbe kila jambo linawezekana .

Toa Maoni yako
 
Attachments

  • 69C1CC33-368F-4392-B826-DD8C3F8E8554.jpeg
    69C1CC33-368F-4392-B826-DD8C3F8E8554.jpeg
    186.7 KB · Views: 4
Akizungumza na Clouds TV , Mkuu wa Wilaya aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Mh Jerry Murro amesema kwamba , anamiss sana mambo ya uandishi wa habari na hasa habari za Uchunguzi .

Akizungumza kwa unyenyekevu huku akionekana afya yake imeporomoka kidogo , lakini akiwa bado na uso wenye Bashasha , amemwambia Gadner G Habash kwamba , kwenye hii ripoti ya CAG lazima angeibuka na Makala ya Uchunguzi

Nimefarijika sana kumsikia Jerry Murro akiongea kwa upole namna hii , kumbe kila jambo linawezekana .

Toa Maoni yako

Wakati huo huo alikuwa anampamba sana mama huko studio hii yote ni kujaribu angalau kumkumbuka kiuteuzi
 
Akizungumza na Clouds TV , Mkuu wa Wilaya aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Mh Jerry Murro amesema kwamba , anamiss sana mambo ya uandishi wa habari na hasa habari za Uchunguzi .

Akizungumza kwa unyenyekevu huku akionekana afya yake imeporomoka kidogo , lakini akiwa bado na uso wenye Bashasha , amemwambia Gadner G Habash kwamba , kwenye hii ripoti ya CAG lazima angeibuka na Makala ya Uchunguzi

Nimefarijika sana kumsikia Jerry Murro akiongea kwa upole namna hii , kumbe kila jambo linawezekana .

Toa Maoni yako
Huyu naye ni sukuma Gang. Huyu bwege alikuwa na mikwala ya kishamba sana,nakumbuka akiwa DC kule Arumeru alimdhalilisha sana Dr. Mahera,leo hii Mahera ni Katibu Mkuu wa Wizara yeye Jerry anasugua bench.
 
Akizungumza kwa unyenyekevu huku akionekana afya yake imeporomoka kidogo , lakini akiwa bado na uso wenye Bashasha , amemwambia Gadner G Habash kwamba , kwenye hii ripoti ya CAG lazima angeibuka na Makala ya Uchunguzi
Haogopi sakata la pingu kujirudia tena?
 
Huyu naye ni sukuma Gang. Huyu bwege alikuwa na mikwala ya kishamba sana,nakumbuka akiwa DC kule Arumeru alimdhalilisha sana Dr. Mahera,leo hii Mahera ni Katibu Mkuu wa Wizara yeye Jerry anasugua bench.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom