Kilichofanyika ni halali kabisa kwani kila kitu kina ethics zake . Ndio maana hapa ma engineer tunakuwa registered erb, vile madaktari, wanasheria, wahasibu na hata waandishi.
Sasa jery alikuwa ana practice kitu asichosomea na hana taaluma nacho ni bora sasa wamuweke kwenye taaluma yake na kama anataka uandishi basi ana nafasi kubwa ya kujifunza taaluma ya uandishi kisha kupata licence ya ku practice. Ili aweze kufanya kwa ufanisi zaidi.