R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,894 Reaction score 101,270 May 26, 2025 #1 Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke. Jaribu unaweza kupata bahati! Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke. Jaribu unaweza kupata bahati! Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,600 May 26, 2025 #2 Retired said: Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke. Jaribu unaweza kupata bahati! Click to expand... Amefanya nini?
Retired said: Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke. Jaribu unaweza kupata bahati! Click to expand... Amefanya nini?
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,894 Reaction score 101,270 May 26, 2025 Thread starter #3 johnthebaptist said: Amefanya nini? Click to expand... anatetea utekaji kwa kumsakama gwajima
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,429 Reaction score 283,692 May 26, 2025 #4 Halafu Mama hana hiyana, atamteua tu
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 8,365 Reaction score 27,349 May 26, 2025 #5 Njaa tu. Njaa vikichanganyika na uvivu pamoja na ukosefu wa maarifa kwamba mtu afanye nini aishi nje ya kuwa mnafiki na kutaka kuonekana hata kwa kutetea ujinga ili apewe kitu huwa mbaya sana.
Njaa tu. Njaa vikichanganyika na uvivu pamoja na ukosefu wa maarifa kwamba mtu afanye nini aishi nje ya kuwa mnafiki na kutaka kuonekana hata kwa kutetea ujinga ili apewe kitu huwa mbaya sana.
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,218 Reaction score 60,249 May 26, 2025 #6 Retired said: Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke. Jaribu unaweza kupata bahati! Click to expand... Tanzania ninchi inayoongoza kwa watu wake kupata teuzi kwa sababu tu ya u-kibaraka. Hyu mwehu kaona kuna uchochoro wa kupita japo siyo wa uhakika.
Retired said: Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke. Jaribu unaweza kupata bahati! Click to expand... Tanzania ninchi inayoongoza kwa watu wake kupata teuzi kwa sababu tu ya u-kibaraka. Hyu mwehu kaona kuna uchochoro wa kupita japo siyo wa uhakika.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,139 Reaction score 24,560 May 26, 2025 #7 Retired said: anatetea utekaji kwa kumsakama gwajima Click to expand... Ni aibu kumjibu mtu bila kuelewa mantiki ya alichokisema! Jerry muro hajamuelewa GWAJIMA. AMEPUYANGA KUMJIBU APATE HURUMA YA UTEUZI
Retired said: anatetea utekaji kwa kumsakama gwajima Click to expand... Ni aibu kumjibu mtu bila kuelewa mantiki ya alichokisema! Jerry muro hajamuelewa GWAJIMA. AMEPUYANGA KUMJIBU APATE HURUMA YA UTEUZI
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,894 Reaction score 101,270 May 26, 2025 Thread starter #8 Kinoamiguu said: Ni aibu kumjibu mtu bila kuelewa mantiki ya alichokisema! Jerry muro hajamuelewa GWAJIMA. AMEPUYANGA KUMJIBU APATE HURUMA YA UTEUZI Click to expand... exactly!
Kinoamiguu said: Ni aibu kumjibu mtu bila kuelewa mantiki ya alichokisema! Jerry muro hajamuelewa GWAJIMA. AMEPUYANGA KUMJIBU APATE HURUMA YA UTEUZI Click to expand... exactly!
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,139 Reaction score 24,560 May 26, 2025 #9 Retired said: exactly! Click to expand... Hata kama ni script. Assume rena!