Jerry Muro kimyaa wakimataifa umewaona? Ni TP Mazembe

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Nadhani Yanga wakati umefika wa kuacha kucheza mpira kwenye magazeti ona ilivyowagharimu.Bw.Jerry Muro nadhani wakimataifa umewaonani TP Mazembe sisi Yanga nadhani ni wa kitaifa tu.
 
Jerry Muro unaogopwa zaidi ya mtoa roho,mikia walidhani watalipiza kisasi cha kushangilia dhidi ya Mazembe wameshindwa.
 
daima mbeeeeeeeeleeeeee
d77fbc46cb3a10397135ac6ab51d0514.jpg
 
Nilichokipenda jana ni kuwa, mji ulitulia.

Mngetupigia makelele huku mitaani.

Asante TP Mazembe.
 
Jerry Muro huwa anafit sana kwenye kaz yake ndio maana ile ya uandsh walitaka kumweka jela kwa kufatilia watu
 
Wa kimataifa wana point zero kwenye league ya Kimataifa hahah.
 
nadhani Congo ni vema waende kwa bodaboda maana ndo usafiri waliozowea, usafiri wa ndege unawadhuru!
 
Back
Top Bottom