tunataka investigative journalist kama hawaSasa nae hakomi tuu, mambo mengine nayo
Sasa nae hakomi tuu, mambo mengine nayo
huyo dogo ataumia sana au atapotea. Asishindane na vyombo vya usalama vina nguvu nyingi. Atafute umaarufu kwa njia nyingine, sio polisi. Ohooo!acha aendelee mie nitayasikia mengine yakimtokea!Jerry aliwekwa chini ya ulinzi wa polisi na kuhojiwa kwa masaa matano.Inasemekana alikuwa anatokea dar
kuelekea mby na bus la sumry leo saa tano na alipofika check point ya iringa alishuka kwenye bus na kutaka
kuwapiga picha trafik polisi,ndipo alipokamatwa na kupelekwa kituoni na kuhojiwa.Aliachiwa huru mida ya
saa kumi jioni.Source francisgodwinblog
Jerry aliwekwa chini ya ulinzi wa polisi na kuhojiwa kwa masaa matano.Inasemekana alikuwa anatokea dar
kuelekea mby na bus la sumry leo saa tano na alipofika check point ya iringa alishuka kwenye bus na kutaka
kuwapiga picha trafik polisi,ndipo alipokamatwa na kupelekwa kituoni na kuhojiwa.Aliachiwa huru mida ya
saa kumi jioni.Source francisgodwinblog
huyo dogo ataumia sana au atapotea. Asishindane na vyombo vya usalama vina nguvu nyingi. Atafute umaarufu kwa njia nyingine, sio polisi. Ohooo!acha aendelee mie nitayasikia mengine yakimtokea!
kijana unakuwa mwoga namna hiyo??huyo dogo ataumia sana au atapotea. Asishindane na vyombo vya usalama vina nguvu nyingi. Atafute umaarufu kwa njia nyingine, sio polisi. Ohooo!acha aendelee mie nitayasikia mengine yakimtokea!
kukoma maana yake afumbia macho maovu yanafanywa na jeshi lapolisi huo ni uonga wa kijinga.............Sasa nae hakomi tuu, mambo mengine nayo