Jerri Silaa: Hakuna wa Kumzuia Membe 2015

Mkuu Jamaa Bwabwa, anafaa Kupuuzwa si Unajua tena Bwabwa, naona anatafuta Jamaa wa kum Boost.
 
Yani Membe awe rais?? Hata akisimamishwa na jiwe, jiwe linashinda.
 

Mwambie na SISI WANANCHI hakuna wa kutuzuia kumpeleka yeye mahakamani kwa ufisadi anaofanya. Mwambie angojee JK amalize muda wake ndio atajua mbivu na mbichi!
 
Nimependa comment za Tukundane kinachoendelea sasa ndani ya chama cha Mapinduzi ni kila mwamba ngoma ngozi kuvutia kwake hitimisho ya hichi ni kukipasua chama chao wenyewe,kama alivyoonya Makongoro Nyerere, hii ni fursa nzuri kwa vyama vya ushindani kuzidi kukaza uzi na kushirikiana kwa dhati ili kuweza kuleta mfumo mbadala katika Taifa letu.
 
Membe ameiba tu-milioni tuchache jamani! Yeye anasainisha Mabalozi tu! Yeye anapokea mi-hela inatoka kwa nchi kama Egypt, DRC, na watu kama Aga Khan. Ushahidi atauona mwaka ujao.
 
Nani alijua kama Mwinyi au Mkapa enzi hizo wangepata urais. Angalau Kikwete alikuwa anasemwasemwa. Sasa Membe huwezi kujua bwana hata Obama alitarajiwa kugombea mwaka 2017 lakini kaukwaa mapema zaidi.
 
Mtoa mada hii analake jambo..jerry silaa kwanza hanywi pombe,huu ni unafiki kabisaa,siasa za maji taka,by the way mtake msitake Rais ajae nchi ni Pinda. . Na maneno haya ntawakumbusha muda ukifika....wait and see...the only clean and smart among all of them..!!
 

Mkuu ninachokiona machoni mwangu mbeleni ni kwamba hizi teams zitakipasua chama vibaya sana.Mpaka sasa kila mtu anaibuka na kujitangaza kugombea urais, saivi hawajali warnings za chama ni kampeni kwenda mbele. Me sometimes najiuliza hawaoni kuwa wanapalilia njia za upinzani kuelekea uchaguzi mkuu? Yaani wameshahasau ya katiba mpya issue saiv ni uraisi tu.Kwa hili upinzani wajiandae kung'ara.
 

Does this makes u any better?na wew kwanini unajadili afya badala ya hoja?
 

ama hakika. Raha sana duniani hapa. Ukitaka kudhalilika ingia kwenye siasa. Akisema hii post yako atajisikiaje?
 
Labda huko ccm hakuna wa kumwzuia. Nje ya ccm kuna ukawa babaakee
 

Jamani umeyajuaje?
 
Manywele ashamsimamisha membe kabla hajaanza. Jerry kalewa huyu. Mama salma amemlea mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…