Jero nateseka!!

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Majibishano kat ya JERO na ELFU KUMI... JERO;ulikuwa wapi ndugu yangu mbona huonekani?
ELFU KUMI; Daah! Ndugu yangu mambo mengi, nazunguka sana kwenye ma-wallet na ma-ATM,mara nimeingia bar,mara casino,juzi nilikuwaAirport nikakaa sana pale kisha nikaenda Mlimani city nkatoka nkaenda Holiday Inn, Kisha nikachukuliwa nikapelekwa masaki. Wewe vp, pande zipi?
JERO; Ooh, mwenzio kila cku kwa mama ntilie, nikibadilisha kiwanja kilabuni, stoo ya mkaa au kanisani mwenzio sina usafiri wa wallet huku ni mifundo ya kanga na vibubu. Si unaona nilivyozeeka, yaani utadhani mi ndo mkubwa
 
Mulwafu..! karibu tughaale ubhwalwa sebho.!
 
Ghwa bhomba kambaku lole nda kughwa urwarwa pamu mishi@Baba v
 
Uyu mkobhwa nu bhwenge nta bhulimo,none yandise ike,ahayekarangana ni bhipapulo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…