Jeri Carwash & Services ya uhakika

Jeri Carwash & Services ya uhakika

Hivi pale victoria wana charge ngapi mkuu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Gari ndogo full elfu 20...gari kubwa naona ni kuanzia noah box, prado, cruiser na nk full elfu 30...

Pia unaweza ukaosha chini au nje au ndani na engine kwa efu tano kwa gari ndogo...

Gari kubwa chini elfu kumi na nje elfu kumi.. Engine elfu tano na ndani elfu tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu,nikiokota pesa ntajaribu kuwatembelea hao jamaa wa Victoria na Jeri nijionee utofauti mkuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Gari ndogo full elfu 20...gari kubwa naona ni kuanzia noah box, prado, cruiser na nk full elfu 30...

Pia unaweza ukaosha chini au nje au ndani na engine kwa efu tano kwa gari ndogo...

Gari kubwa chini elfu kumi na nje elfu kumi.. Engine elfu tano na ndani elfu tano

Sent using Jamii Forums mobile app

Though mkuu sijawahi kuona faida ya kuosha gari kwny engine kule.

Nilishaosha nikiwa na discovery 3 kilichonipata sitarudia kuosha engine tena.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani usipoiosha engine kuna hasara gani kitaalamu?

Maana sijawahi kuona gari imezingua engine sababu ya kutokuoshwa mkuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Engine kuwa safi inafanya gari ionekane bado bora zaidi na kuonekana bado mpya... Na inasaidia kwa mafundi wakati wa service mf kama kuna leakage inaonekana kiurahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom