Jeri carwash
Member
- Mar 29, 2018
- 17
- 38
Tuna usafi wa aina 2 kwa ajiri ya gari yako
1.Gari itaoshwa nje na ndani bila kutoa kitu.
2.Gari itaoshwa nje na ndani kwa kutoa viti vyote na kisha kufanyiwa usafi wa kina kila sehemu kwa umakini mkubwa.
Fika leo Jeri upate huduma bora.
Ukiwa Jeri unapoosha gari lako unaweza kupumzika sehemu yetu ya mapumziko,ambapo utapata maji na magazeti ya kusoma lakini pia ndani ya eneo letu la biashara kuna saluni ya kike na kiume hivyo unaweza pia kurekebisha muonekano wako ukiwa unasubiri gari lako.
Tupo karibu na huduma zote za kibenki,Mgahawa,Hospitali na sehemu ya vinywaji.Karibu sana kwa uhakika wa usafi wa gari lako.
Tunapatikana Shekilango Rd karibu na Hongera Bar na Chuo cha ustawi wa jamii Bamaga.
Mawasiliano yetu ni 0715447028
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuosha gari ni hatua moja lakini vifaa na aina ya uoshaji wa gari husika vina mchango mkubwa katika maisha ya ubora wa gari lako,ukifika Jeri tutakuhudumia kwa ufanisi na utaalam wa hali ya juu,tutaosha gari lako kwa sabuni maalum za kuoshea magari,lakini pia mashine za kisasa kabisa za kunyonya vumbi,vyote hivyo vinapatikana Jeri Carwash & Service,tunatumia winchi ya kisasa kabisa kupandisha na kuosha gari lako lakini pia hatuishii hapo kwa ajili ya kuwajali zaidi wateja wetu tumewaletea bidhaa nyingine ambazo zitatumika kwa gari lako lakini pia unaweza kununua na kwenda kutumia nyumbani.
Tumewaletea Jeri Super (Inatumika kusafishia injini),Jeri lemon solution (Hii inatumika kulinda dashboard ya gari lako inapopata miale ya jua isipate madhara moja kwa moja,Jeri wash & Wax(hii inatumika kulinda rangi na muonekano wa gari lako) hizi zote ni bidhaa za asili zisizokuwa na kemikali.
Karibu leo Jeri Carwash & Service ujipatie huduma bora lakini na bidhaa bora pia.
Tunapatikana Shekilango road pembeni ya hongera bar karibu na Chuo cha ustawi wa jamii.
Mawasiliano :0757999904