GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
Tangia UTEULIWE Kuwa WAZIRI Wa Hicho Cheo Ulichonacho Umebadilika Mno Hasa KITABIA Kiasi Kwamba Sasa Wewe Umekuwa Ukijifanya Ni Mungu Mtu Hapo SERIKALINI Huku Ukijifanya Wewe Ni NGULI Wa Masuala Mazima Ya UONGOZI Na UTAWALA.
Nakumbuka Kuna Siku Moja Ulikuwa Upo Na Mama Yetu MAKAMU WA RAIS Mahala Katika MKUTANO Na Pale Ulikuwa Unaonyesha Ulivyo Na KIMBELEMBELE Na KIMUHEMUHE Kutaka Kuongea Wewe Na Mbaya Zaidi Hata " Body Language " Yako Tu Ilionyesha Kuwa Ni Mtu Uliyekuwa UKIMDHARAU Mno Makamu Wa Rais Pale Ukumbini Hadi Nikahisi Pengine Labda Hukupendezwa Na Kuteuliwa Kwake Kule Dodoma Na Msubi Magu Kuwa Kwake Mgombea Mwenza Wake Kwa Tiketi Ya CCM.
Sasa Kama KAWAIDA Yangu Leo Bila KUPEPESA MACHO Wala KUMUNG'UNYA MANENO Na KUTIKISA MASIKIO Nakuambia " Live " Tena Bila KIFICHO Kuwa WATENDAJI Wako Wote Katika Hiyo WIZARA Wamekuchoka Na Wengi Wao Wanasema Kuwa Una DHARAU ILIYOTUKUKA Na Huna Maneno Ya KIULEDI Kwao Zaidi Tu Ya KUWATISHA Na Kujifanya MBABE.
Kwa TAARIFA Yako Tu Ni Kwamba Sasa Kuna KAMPENI Ya Kuku " Fix " Ili Uharibikiwe KIUTENDAJI Kisha Uonekane KITUKO Na Kiukweli Kwa Tukio La Juzi ULILOTUFANYIA Siogopi Kusema Kuwa UMETUDHARAU WATANZANIA WOTE MILIONI 48 Na Umemtia Mno AIBU Mheshimiwa Rais Wetu Dr. Magufuli Na Namshangaa Na Yeye Pia Ni Kwanini Kwa ADMINISTRATIVE BLUNDER Ile Uliyoifanya Ya Kututeulia Wrong Person Awe Kaimu Bosi NSSF Bado Mpaka Leo Ni WAZIRI Na Ningekuona Pia UMEKOMAA KISIASA Kama Wewe Mwenyewe Tu Ungekuwa Responsible Na Kuamua KUJIUZURU.
Kitendo Ulichokifanya KINGEHATARISHA Mno USALAMA WA NCHI YETU Na Sasa Hata Mimi NIMEANZA KUINGIWA NA SHAKA Na Wewe Kama Ni MTANZANIA HALISI Na Nahisi Labda Una AGENDA Yako Ya SIRI Juu Ya Nchi Yetu Hii.
Rekebisha Haya Yafuatayo Upate Ushirikiano Kwa Unaowangoza:
Najua Haya Niliyoyaandika Hapa YATAKUUMIZA Na KUKUKWAZA Sana Ila Nimeumbwa Kusema UKWELI Bila Woga Wala Hofu Japo Nikiri Kwako Kuwa Hata Mimi Ni Mwana CCM Mwenzako Tena NILIYETUKUKA Kisawasawa Ila Sijaumbwa Na Roho Ya UNAFIKI Hasa Pale Nikiona au Kugundua UPOPOMA ULIOTUKUKA Umefanywa au Umefanyika. Na Katika Hili Hata Watu Wa UKAWA Wakiandamana Kudai Uondoke MADARAKANI Hata Mimi GENTAMYCINE Nitawaunga Mkono Tena Si Kwa Maneno Tu Bali Hata Kuandamana Nao.
Umetutia Mno Aibu Wana CCM Na Umemuaibisha Sana Bosi Wako Mheshimiwa Rais KIUTENDAJI.
Am Done And I Stand To Be Corrected But To Me You've Proved A FAILURE OF THE HIGHEST ORDER!

- Punguza Ubabe.
- Acha Dharau.
- Epuka Huo Ujivuni Wako.
- Pendelea Kuheshimu Mawazo Yao Pia.
- Usifanye Kazi Kwa Kutaka SIFA Uonekane Wewe Ndiyo Waziri Mchapakazi Pekee.
- Usijiamini Kupita Kiasi Bali Tenga Pia Sehemu Ya Hofu Moyoni Mwako.
- Waheshimu Sana Hao Uliowakuta Hapo Wizarani Kwani Wamekuzidi Mengi Sana.